Mapenzi yanauma sana ndugu zangu, kamwe usimcheke mtu kama bado hayajakukuta

Yaaan mapenzi ni kitu ambacho binafsi nakosa kukidadavua, in short hakieleweki . Ingawa mpaka sasa nilichojifunza ukimpenda yeye hakupendi na akikupenda wewe humpendi
 
Cheka sn na dem wko,furahi nae san,pga nae stor zote lkn tengeneza mazingira ya wew kutoumia kwa hali yeyote koz ucwe mtumwa wa mtu no matter upendo uko vp.
 
Mkuu hii ni kweli kabisa!binafsi nilikuwa namfanyia kila kitu hata nisivyopenda mimi ili tu kumfanya afurahi !yani niliogopa kumpoteza kwa kuogopa ntakosa mzuri kama yeye!alinitesa sana aisee yule binti!ila kuonyesha kutokujali na aone unaweza kumuacha mda wowote ndo dawa yao hawa viumbe anakuwa na heshima na anatulia
 
acha blaablaaa sema nini kilitokea.mthredi mreeefu huelezei kisa ndo nn sasa? uligongewa? au?ningekuwa moderator ningekunyuka ban akil ikukae sawa na ukajifunze jinsi y kusimulia mikasa
 

With time utaanza tena kuhisi upweke hautakaa
ivyo milele ni swala la muda tu
 
Amini kwamba ukifata hayo niliyosema hapo juu katika hio post hamna mwanamke atakujia juu ama kukusumbua hata akiwa mzuri kama Anjelina Jolie.

Wanawake kudeal nao ni trick ya kucheza na hormones zao tu 🤣🤣🤣. Hakika utawafaidi mkuu na utainjoy kuwa nao. They mostly need a man not a boy attitude. Just put her into place hata kama itarisk we kumpoteza na amini kwamba hataenda popote atazidi kukupenda tu.
 
With time utaanza tena kuhisi upweke hautakaa
ivyo milele ni swala la muda tu
Ni miaka sasa mingi sana

Wengi wamenipenda may be due to my position

Labda pia sababu ya upole wangu

Yaani wengine wametamka wazi wazi how they deeply love me

Aisee .... Mi siwaamini i just trust my son
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nicheke sana saivi.mda wangu wa kuumizwa naona bado shida nme penda sehem 3 ..nki umizwa uku natulizwa kule sijawai kukosa hamu ya kula [emoji23][emoji23]
 
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nicheke sana saivi.mda wangu wa kuumizwa naona bado shida nme penda sehem 3 ..nki umizwa uku natulizwa kule sijawai kukosa hamu ya kula [emoji23][emoji23]
3 Suitors 1 Husband😆
 
Nimeamini ww ni mtoto na huyo mwanamama alikutenda kwa sababu ya utoto wako.

Ebu fikiria unajitokeza JF unazungumzia tu kuachana na mpenz waki bila kuelezea ilivyokua, mazingira gan na kwa nn ilitokea ivo.

Unatuletea tu habari juu juu. Vip na wengne wangekua wanatoa habari nusu nusu....JF ingekua kama ilivo? Ww ni mtoto wa Facebook.
 
Hahaha
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…