Leonardchama7
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,963
- 4,027
Kuumia kupo ila ukiwa na expectations, hii hutokea first time mwanaume anapopenda kweli na kutazama future na mwanamke husika. Ukipigwa za uso hapo lazma udate.Daah ninyi so ndio huwa mnasema hamuumii? Mwanamke akikupiga kibuti unashangilia maana amekupa nafasi ya kuchukua kitu kipya. Nikikupa pole itakuwa ya kinafiki wacha tu niishie hapo
Sasa sabuni inaletaje kisebusebu?Siyo hivyo, na yeye anajua yuko na mtu wa aina gani hivyo akileta kisebusebu saa haipiti.
Inakuwa historia.
Sijalia tenaa na sitegemei sanaaa, ila ujue kuna wanaume wanapenda balaa sema ndio hivyo chanhamoto hazikosi
Yatakuliza pale utakapo amua kutulia kuwa na Familia yako.Dah! Nina mambo mengi ya muhimu huwa sikai kuwaza mapenzi.
Nikitaka mapenzi nanunua ni lini yataniliza?
Kuumia kupo ila ukiwa na expectations, hii hutokea first time mwanaume anapopenda kweli na kutazama future na mwanamke husika. Ukipigwa za uso hapo lazma udate.
Ila kwa wale wa kusogezea siku hata kibuti siwazi kwanza ndio nauza match kila nikipata nafasi. Ntaumiaje wakati sina mpango nawewe. Works like that!
Hahahaha wewe hujawahi penda, usimdharau huyu jamaa sio mwenda wazimu. Naamini mara yako ya kwanza kupenda ikitokea hitilafu utameza maji ya betriKupenda hadi kushindwa kula,kutundikiwa drip dah mie naona ulijiendekeza sana...
Wewe sio wa kwanza Kupenda wala hautakuwa wa mwisho hebu jikaze na upunguze kulialia.
Kuumia kupo ila ukiwa na expectations, hii hutokea first time mwanaume anapopenda kweli na kutazama future..........
Ukipigwa za uso hapo lazma udate.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna watu hawajali chochote kile katika ulimwengu huu.Yatakuliza pale utakapo amua kutulia kuwa na Familia yako.
HahahaHuwa ni huku kwnye maandishi tu ndo wanajifanya vidume
Wewe sabuni huwa ni extra.Sasa sabuni inaletaje kisebusebu?
Ni kweli kinachomfanya mtu aumie ni expectations
Ulikula mzigo? [emoji849], tuanzie hapo kwanza l
Nakuelewa vizuriMapenzi uliyowekeza pale, na ukiwa hapo huoni mtu mwingine zaidi
You did this from the second time you loved a woman. First time lazma uliumia tu hata ukijitutumua. There was a point ulilia mzee. Ruksa kubisha. Maana mtu mpaka ayajue hayo lazma kuna changamoto alipitiaWanaume baadhi mnakosea sana kumpenda mwanamke mpaka akahisi kukinai kupendwa,hivyo ni rahasi sana kuumia endapo kutatokea kutoelewana,
Mwanamke mpende kiasi,mjali kiasi,ili asijue umesimamia wapi,pia mtimizie mahitaji yake kama inavyotakiwa,ila uwe na maamuzi ya kiume ukisema hapana umaanishe hapana na yeye atambue hivyo,na katika suala la mawasiliano usipende sana kufuatilia simu ya mkeo mpe uhuru na ila umuonye kulingana na misimamo yako,naamini ukianza na utaratibu huu hautakaa ujute kamwe,kifupi usimruhusu mwanamke akakuelewa kwa 100% utajuta,jitahidi angalau akuelewe kwa 70% tu inatosha.
You are a looser and weak, be strong boy!!!!
Tena wewe myahudi ukila mzigo kabla ya ndoa adhabu yake si kupigwa mawe mpaka kufa[emoji3][emoji3]Mzigo sio maana sana kwenye mapenzi ya kweli ndugu yangu
Wanaume baadhi mnakosea sana kumpenda mwanamke mpaka akahisi kukinai kupendwa,hivyo ni rahasi sana kuumia endapo kutatokea kutoelewana,
Mwanamke mpende kiasi,mjali kiasi,ili asijue umesimamia wapi,pia mtimizie mahitaji yake kama inavyotakiwa,ila uwe na maamuzi ya kiume ukisema hapana umaanishe hapana na yeye atambue hivyo,na katika suala la mawasiliano usipende sana kufuatilia simu ya mkeo mpe uhuru na ila umuonye kulingana na misimamo yako,naamini ukianza na utaratibu huu hautakaa ujute kamwe,kifupi usimruhusu mwanamke akakuelewa kwa 100% utajuta,jitahidi angalau akuelewe kwa 70% tu inatosha.