Mapenzi yanauma sana ndugu zangu, kamwe usimcheke mtu kama bado hayajakukuta

Mpira unamatokeo matatu...... kushinda, kushindwa na kudraw

Chukulia mapenzi kama huo mchezo ndio utaendanayo sawa maana mapenzi ni game
 
Mpira unamatokeo matatu...... kushinda, kushindwa na kudraw

Chukulia mapenzi kama huo mchezo ndio utaendanayo sawa maana mapenzi ni game

Mchezo mpya siku zote kuka kubau bau kwingi mpaka ulizoee
 
Hahah mkuu unahisi kweli sijawahi kupenda???

Tatizo alipenda akaingiza miguu,kichwa na kiwiliwili kwa pamoja...

Tena umemshauri vizuri sana huyu..Nafikiri kama wewe kuwa abadilishe approach mana inaonesha akipenda huwa anajali kupita maelezo...Ajikaze maisha yaendelee.
Hahahaha wewe hujawahi penda, usimdharau huyu jamaa sio mwenda wazimu. Naamini mara yako ya kwanza kupenda ikitokea hitilafu utameza maji ya betri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…