Wewe possibly unaweza lakini jamaa labda hawezi kusameheWangapi wameoa wanawake walio zalishwa? Inategemea kama baba mzazi wa huyo mtoto wanachukua responsibility au laa, ila mwanaume kusamehe huyo mwanamke inawezekana vizuri tu
Kama hawezi atamtesa sana huyo mwanamkeWewe possibly unaweza lakini jamaa labda hawezi kusamehe
Anaweza kumsamehe lakini sio lazima kuishi pamojaNdio ila sio kigezo cha kumhukumu maisha yake yote
Kwanini unaona mateso upande mmoja tu wa mwanamke?Kama hawezi atamtesa sana huyo mwanamke
Kwa sababu yeye ndo mwenye manung'uniko mwanaume anahasira tu ila hana regretsKwanini unaona mateso upande mmoja tu wa mwanamke?
Naona unataka kuleta mashindano šMwanaume akiwa msaliti ni Sawa ila kwa mwanamke ni shetan
Hahaha mkuu naomba link nikajisikilize hukoššššBwanamdogo de Gunner baada ya kusikiliza ile voice note uliyomtumia mke wangu jumamosi nimeku-block halafu nikai-foward kwa vijana wanaotengeneza memes utajikuta huko mtandaoni kama kituko, najitolea kuku-teach a lesson mpaka akili ikukae sawa kwasababu ushauri umepewa wa kutosha humu jukwaani ila bado umeendelea kukaza fuvu naandaa mpango wa kuwa nagawa content zako kwa wadau ili kukupa fame na attention unayoitafuta. Nimalize kwa kusema kwamba you better watch your back
Nimemaliza.
Naomba tuongee kiongoziBwanamdogo de Gunner baada ya kusikiliza ile voice note uliyomtumia mke wangu jumamosi nimeku-block halafu nikai-foward kwa vijana wanaotengeneza memes utajikuta huko mtandaoni kama kituko, najitolea kuku-teach a lesson mpaka akili ikukae sawa kwasababu ushauri umepewa wa kutosha humu jukwaani ila bado umeendelea kukaza fuvu naandaa mpango wa kuwa nagawa content zako kwa wadau ili kukupa fame na attention unayoitafuta. Nimalize kwa kusema kwamba you better watch your back
Nimemaliza.
Tofautisha kuzalishwa na mke wako kubeba mimba ya mwanaume mwingine huku ukiwa unaishi nayeWangapi wameoa wanawake walio zalishwa? Inategemea kama baba mzazi wa huyo mtoto wanachukua responsibility au laa, ila mwanaume kusamehe huyo mwanamke inawezekana vizuri tu
It doesn't matter mkuu.. Kama unapenda utamsamehe na maisha yataendeleaTofautisha kuzalishwa na mke wako kubeba mimba ya mwanaume mwingine huku ukiwa unaishi naye
NakusikilizaNaomba tuongee kiongozi
Naomba iwe private mkuu maana unataka kunitoa roho hadharaniš¤£Nakusikiliza
Haiko hivyo BwasheeIt doesn't matter mkuu.. Kama unapenda utamsamehe na maisha yataendelea
Maisha sio kama ulivyo karirishwaHaiko hivyo Bwashee
Mimi ndio nimekuja kusema sasa maana naona dalili zote zinaonesha ni yeyeWatakuja kusema huyo jamaa yako ni wewe,
Nimesema watakuja kusema.