Masagala JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 4,663 Reaction score 9,335 Sep 8, 2026 #41 Na huyo mwanaume ni ww.
M mlisha Member Joined Aug 23, 2026 Posts 23 Reaction score 42 Sep 8, 2026 Thread starter #42 Archnemesis 2-0 said: Mwambie chama Cha wazee wa itifaki tumeshauri apige nyama chini, pia apime DNA watoto wote.. kama ni mmoja wake aendelee kuhudumia damu yake tu! hakuna kuremba mwandiko hapa kutafuta sifa za Ke. Click to expand... Mtoto wa pili ni wake kabisa Ila wa kwanza amepigwa mchana kweupe
Archnemesis 2-0 said: Mwambie chama Cha wazee wa itifaki tumeshauri apige nyama chini, pia apime DNA watoto wote.. kama ni mmoja wake aendelee kuhudumia damu yake tu! hakuna kuremba mwandiko hapa kutafuta sifa za Ke. Click to expand... Mtoto wa pili ni wake kabisa Ila wa kwanza amepigwa mchana kweupe
M mlisha Member Joined Aug 23, 2026 Posts 23 Reaction score 42 Sep 8, 2026 Thread starter #43 Masagala said: Na huyo mwanaume ni ww. Click to expand... Hata kama ni mimi wewe toa ushauri full stop
Masagala said: Na huyo mwanaume ni ww. Click to expand... Hata kama ni mimi wewe toa ushauri full stop
M mlisha Member Joined Aug 23, 2026 Posts 23 Reaction score 42 Sep 8, 2026 Thread starter #44 The Icebreaker said: Watakuja kusema huyo jamaa yako ni wewe, Nimesema watakuja kusema. Click to expand... Wamesha Sema tayari na kibayazaidi wanasema ni story ya kutunga sijui kwanini watu hatuaminiani
The Icebreaker said: Watakuja kusema huyo jamaa yako ni wewe, Nimesema watakuja kusema. Click to expand... Wamesha Sema tayari na kibayazaidi wanasema ni story ya kutunga sijui kwanini watu hatuaminiani
Niwaheri JF-Expert Member Joined May 2, 2020 Posts 3,676 Reaction score 5,895 Sep 9, 2026 #45 The Icebreaker said: Watakuja kusema huyo jamaa yako ni wewe, Nimesema watakuja kusema. Click to expand... probabily na nashauri jamaa aondoke amuachie nyumba mwanamke. Mimi siondoki ondoka wewe uniache
The Icebreaker said: Watakuja kusema huyo jamaa yako ni wewe, Nimesema watakuja kusema. Click to expand... probabily na nashauri jamaa aondoke amuachie nyumba mwanamke. Mimi siondoki ondoka wewe uniache
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Sep 13, 2026 #46 Inasikitisha sana, mambo yao waachie wenyewe... Cc: Mahondaw