C CHIPANJE JF-Expert Member Joined May 1, 2011 Posts 321 Reaction score 53 Dec 29, 2011 #1 Love relationships among the lovers are like bluetooth. They stay connected when they are close. And when you go away they find new devices.
Love relationships among the lovers are like bluetooth. They stay connected when they are close. And when you go away they find new devices.
Gosbertgoodluck JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 2,855 Reaction score 402 Dec 29, 2011 #2 Absolutely!
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,009 Reaction score 60,629 Dec 29, 2011 #3 Mapenzi ya ukweli hayajali umbali, unaweza ukawa miles away na bado ukamfeel mwenzako kana kwamba upo nae.Unayoongelea ni haya ya ilimradi tu!!
Mapenzi ya ukweli hayajali umbali, unaweza ukawa miles away na bado ukamfeel mwenzako kana kwamba upo nae.Unayoongelea ni haya ya ilimradi tu!!
C CHIPANJE JF-Expert Member Joined May 1, 2011 Posts 321 Reaction score 53 Dec 29, 2011 Thread starter #4 Lizzy said: Mapenzi ya ukweli hayajali umbali, unaweza ukawa miles away na bado ukamfeel mwenzako kana kwamba upo nae.Unayoongelea ni haya ya ilimradi tu!! Click to expand... Ngoja yakukute,utaicheki.
Lizzy said: Mapenzi ya ukweli hayajali umbali, unaweza ukawa miles away na bado ukamfeel mwenzako kana kwamba upo nae.Unayoongelea ni haya ya ilimradi tu!! Click to expand... Ngoja yakukute,utaicheki.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,991 Reaction score 24,211 Dec 29, 2011 #5 ya nini kujitesa kutaka kula majani ya mbali kula kwa urefu wa kamba yako ila lazima ujue zizi lako, kila jioni urudi.
ya nini kujitesa kutaka kula majani ya mbali kula kwa urefu wa kamba yako ila lazima ujue zizi lako, kila jioni urudi.
fazaa JF-Expert Member Joined May 20, 2009 Posts 2,984 Reaction score 1,031 Dec 29, 2011 #6 Mtoa mada hapo unaongelea kupenda penda au kupenda? Mana kupenda ni tofouti na kupenda penda.