Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kata mti panda mti mwanawane...akili mkichwa!.Niliyempenda amesafiri na simu hapokea wajf nipeni
Niliyempenda amesafiri na simu hapokea wajf nipeni
kwani we wahisi nini?:fear:
Kata mti panda mti mwanawane...akili mkichwa!.
Meza panado
Kwa muda gani? Hajapokea kwa siku moja tu au zaidi?
Hamkutofautiana kabla hajaondoka?
Una uhakika anakupenda?
Hauwi kero kwake mkiwa pamoja?
Ukijijibu hayo maswali (sio lazima uyaandike majibu humu), utakuwa umeshapata idea ya nini cha kufanya!