Mapenzi

Joined
Sep 17, 2016
Posts
5
Reaction score
4
*Upendo wa kweli ni nini?*
*[emoji117]Upendo wa kweli ni pale mwanaume anapomfumania mwanamke wake na kisha kumwambia baby vaa nguo twende nyumbani*

*Kifo ni nini?*
*[emoji117]Kifo ni pale mwanamke anapokubali kwenda nyumbani na mwanaume yule.*

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
uwiiiiiiiiiii mbavu mieee.........ila hiyo ID yako (melania) ndo jina la kike ninalopenda saaaaaaaana.
 
Nyumbani kwa mwanaume yule......HAHAHA.
 
Majibu kuntu

πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Jela ni nini..jela ni pale mwanaume huyo anapomuua mkewe na kushikwa na polisi...
 
Malinda ni nini ?...... ni yale yatakayofumuliwa pale huyo mwanaume atakapofikishwa jela!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…