Mapenzi

Joined
Jun 10, 2011
Posts
20
Reaction score
0
nilikuwa na mpenzi wangu tangia niasoma kidato cha sita, hadi leo nipochuo kikuu dodoma mwaka wa pili tena nilimpenda sana lakini kuna kama siku tatu zimepita tangua aliponitamkia kuwa MIPANGO SI MATUMIZI , Ndiyo maana akashindwe kunidhirishia kuwa we can live togather in our life as father and mother.if thta case ma self i take some measure of leving her alone because i have lost my time for wating her thinking she is going to be ma wife
 
Sory,sijapata point yako vyema,hilo ni swali au unaeleza kilichotokea ili watu wajifunze kupitia uzoefu wako?
 
mkuu sijakuelewa vizuri
 
Ok tunashukuru kwa taarifa hii.
 
Uko chuo mwaka wa pili..na hiki ulichokiandika ni tetesi!!
 
pole naona umeelezea sijaona wapi nikusaidie ila pole sana
 

We dogo.....

Soma achana na uasherati..........

Subiri muda wako ufike!
 
Bora uzingatie masomo yako tu, hayo mambo waachie wengine. Wakati wako ukifika mambo yatakwenda sawa kabisa.
 
Msimpuuzie, huyu ni kijana mdogo hajajua kupangilia mawazo ili kueleweka, anapaswa kufundishwa na walimwengu ambao ndo sisi. Huko aliko ni kwa ajili ya kupass mitihani na kupata documents za kumthibitisha kuwa kaenda shule. Ila akiingia mtaani atajifunza mengi na kugundua kwamba huwezi kusaidiwa bila kujieleza ukaeleweka. Nyoosa maelezo yako kijana - tuko hapa kupanuana mawazo.
 

Mkuu uwe unajipanga kwanza..! hebu edit uzi wako kwanza then ntachangia..!
 
vijana mmejaribu kucomment mkasa wangu lakin siku nyingine mtumie maneno ya ya burasa kwn hii kazi inasomwa na watu wengi ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…