kweli jamani hivi kwanin mtu unayempenda anakupotezea wakat wewe ndio umekufa ukaoza. je wenzangu jambo hili mnalionaje kwan linaumiza sana mpaka mim huwa nakosa hata tumain la kuwa na mtu ni mpendaye katika maisha ya kila siku ili ikizewekana basi tufunge ndoa na mungu abariki maisha yetu ya kila siku
Hivi Unajua kuvunjwa moyo?? Hapo wewe umevunjwa kweli.... Hivi utakua na hamu na vi element vya mapenzi.. Avatar yako inaonesha kabisa uko pande nzuri upande wa mapenzi...