hali ni ngumu jamani..wengine wanaongea ivo ivo wanachanganya na kiswahili humo humo..sasa hapo tunajenga taifa ambalo halijui kiswahili wala kingereza!
habari za hang'over lakini (offtopic)
kwa hiyo ile konyagi haikuwa na alkoholi?Mie wala sikugusa kabisaaaaaaaa
kwa hiyo ile konyagi haikuwa na alkoholi?
hahahahaha!shaka ondoa.kuna mtu serious nitakuunganisha nae!atakuchukua jumla jumlaMweee Geoff sikuwa nakunywa konyagi wajameni unajua kuna watu wengine hawapendi wadada wanywe pombe sasa unaniharibia soko hivi hivi ukisema kuhusu konyagi watadhani mie nimo sana kumbe wala hamna kitu
Samahanini wakuu tuko offtopiki kidogo
mie wala sikugusa kabisaaaaaaaa
kwa hiyo ile konyagi haikuwa na alkoholi?
Kiblurei cha nguvuNyerere ndio aliko haribu hapo.
mpwa mchokozi kweli!hahaha.....:😀
noted.mweee geoff sikuwa nakunywa konyagi wajameni unajua kuna watu wengine hawapendi wadada wanywe pombe sasa unaniharibia soko hivi hivi ukisema kuhusu konyagi watadhani mie nimo sana kumbe wala hamna kitu
samahanini wakuu tuko offtopiki kidogo
Mkuu mimi nikikushauri hapa nitakuwa kama najibu swali la kipima joto la ndiyo, hapana, sijui...........ila majibu unayo mwenyewe mkuuJamani Hebu tuitazame na hii!!!!!!!!
Kuna demu mmoja sijui anapepo la ngono?
One day nilimuaproach akasema yuko single, after a short of time I DISCOVERED she has a BOYFRIEND, then after she dated with a TEACHER whom was EXAMINING 4m four Exams. How shall I do?
sasa unaniharibia soko hivi hivi ukisema kuhusu konyagi watadhani mie nimo sana
Hahahaha unapendelea Nguli ndogo au?
Hahahaha unapendelea Nguli ndogo au?
teh teh teh..... raha dunianiNyerere ndio aliko haribu hapo.
Jamani Hebu tuitazame na hii!!!!!!!!
Kuna demu mmoja sijui anapepo la ngono?
One day nilimuaproach akasema yuko single, after a short of time I DISCOVERED she has a BOYFRIEND, then after she dated with a TEACHER whom was EXAMINING 4m four Exams. How shall I do?
Mweee Geoff sikuwa nakunywa konyagi wajameni unajua kuna watu wengine hawapendi wadada wanywe pombe sasa unaniharibia soko hivi hivi ukisema kuhusu konyagi watadhani mie nimo sana kumbe wala hamna kitu
Samahanini wakuu tuko offtopiki kidogo
Hapa sijui kama nimekuelewa vizuri. Unauliza How shall I do ama
what should I do?....Kama ni 'how' basi gongo gogo usikize mlio kisha
kula kona. Kama ni 'what' basi achana nae.