mapenzi

mapenzi

Amour91

Member
Joined
Mar 9, 2014
Posts
37
Reaction score
23
habari wapendwa,
hakika katika mambo mengi yanahitaji upendo, mbali na upendo kuna mahusiano ambayo hutuhusisha sisi wanaume na dada zetu. Mapenzi huleta furaha pale mnapokuwa na amani.
Hakika wanawake wengi huhitaji kupewa kipaumbele na kuheshimiwa, kumjali na kusikilizwa. Hakika pale wanapokosa vitu hivyo hubadilika na kuhisi uhusiano na mbaya.
Kwa kawaida pia yahitaji kwao kujua kuwa kil ambachowanahitaji au kupenda kufanyiwa ndivyo ambavyo nasi twapenda kufanyiwa, hakika hiii itasaidia usaliti kuondoka na mahusiano kuwa mazuri
 
Back
Top Bottom