Mapenzi

Mapenzi

Salumu waliy

Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
8
Reaction score
3
dah! Ma fellow members nna tatzo nna wiki sasa chakula hakipiti sioni cha kufanya wala kushika nlikuwa na mpenzi wangu tunapendana sana yan bt siku ya siku nlimkwaza k2 kdogo sana sasa ndo ikawa sababu hatak kuniona hataki kusikia chchte toka kwangu hata zawdi zangu za sikukuu leo kanigomea kupokea yan i don have anything to do maumivu nliyonayo hayasemeki naombeni ushauri wenu jaman
 
mkuu aujafafanua vzr,hasa chanzo cha kugombn kwenu,coz huwez tatua tatizo lolote bila kujua chanzo..
 
dah! Ma fellow members nna tatzo nna wiki sasa chakula hakipiti sioni cha kufanya wala kushika nlikuwa na mpenzi wangu tunapendana sana yan bt siku ya siku nlimkwaza k2 kdogo sana sasa ndo ikawa sababu hatak kuniona hataki kusikia chchte toka kwangu hata zawdi zangu za sikukuu leo kanigomea kupokea yan i don have anything to do maumivu nliyonayo hayasemeki naombeni ushauri wenu jaman

Pole.. Ama kweli nimeanza kuamini vilio vya men vimezidi kuliko us women.. Ndugu Mimi kama mwanammke nakuambia . Ukiona kama umejaribu kuongea nae bado hataki. Hebu jaribu kujipanga na maisha yako and try to move on .. uone kama hatarudi .. Piga kazi zako , focus na mambo yako. Kama ni wako atarudi kama si wako hatorudi tena . Please don't force it. Mapenzi hayalazimishwi my dear . Na ukiyaalazimisha utakuja Juta baadae.. usikute mwenzio yuko happy na mwingine wewe unasononeka, shida yote ya nini. Life its too short .. Focus on your things before you lose on yourself . Pole sana... Thanks..
 
Sasa mbona taarifa yako nusu nusu,jambo gani hilo dogo ambalo umemkosea??maana usijetaka kupata huruma wakat umetenda dhambi
 
Dear hata kama ni dhambi si aseme na kumuambia mwenzie na waachane tuu kiusalama .Kuliko mmoja anasononeka mwingine usikute ana kula Raha. Thanks..
 
Pole.. Ama kweli nimeanza kuamini vilio vya men vimezidi kuliko us women.. Ndugu Mimi kama mwanammke nakuambia . Ukiona kama umejaribu kuongea nae bado hataki. Hebu jaribu kujipanga na maisha yako and try to move on .. uone kama hatarudi .. Piga kazi zako , focus na mambo yako. Kama ni wako atarudi kama si wako hatorudi tena . Please don't force it. Mapenzi hayalazimishwi my dear . Na ukiyaalazimisha utakuja Juta baadae.. usikute mwenzio yuko happy na mwingine wewe unasononeka, shida yote ya nini. Life its too short .. Focus on your things before you lose on yourself . Pole sana... Thanks..

Fuata ushauri huu mkuu... Acha kulilia mapenzi kama mtoto. Tumia akili yako acha kufumba macho
 
Kama ni wewe ndio chanzo cha ilo tatizo basi usichoke kujishusha, inawezekana mwenzio amekwazika na kitendo ulichokifanya lkn ukaribu wako na maneno yako yanaweza mfanya ajue ni kwamba uliteleza. Utaweza pendwa tena. Mapenza ni kama siasa tu, uongo na swaga zako utakubalika tu.
 
Dogo huelezi hata sababu ya kuchuniwa... Isije kuwa ulifumaniwa halafu hapa unaseek sympathy wakati we ndo unamakosa!
 
Ama kweli kua uyaone, hivi umeshamaliza homework???
SINA IMANI NA UKAWA
 
Back
Top Bottom