Salumu waliy
Member
- Jul 25, 2013
- 8
- 3
dah! Ma fellow members nna tatzo nna wiki sasa chakula hakipiti sioni cha kufanya wala kushika nlikuwa na mpenzi wangu tunapendana sana yan bt siku ya siku nlimkwaza k2 kdogo sana sasa ndo ikawa sababu hatak kuniona hataki kusikia chchte toka kwangu hata zawdi zangu za sikukuu leo kanigomea kupokea yan i don have anything to do maumivu nliyonayo hayasemeki naombeni ushauri wenu jaman
Sasa mbona taarifa yako nusu nusu,jambo gani hilo dogo ambalo umemkosea??maana usijetaka kupata huruma wakat umetenda dhambi
Pole.. Ama kweli nimeanza kuamini vilio vya men vimezidi kuliko us women.. Ndugu Mimi kama mwanammke nakuambia . Ukiona kama umejaribu kuongea nae bado hataki. Hebu jaribu kujipanga na maisha yako and try to move on .. uone kama hatarudi .. Piga kazi zako , focus na mambo yako. Kama ni wako atarudi kama si wako hatorudi tena . Please don't force it. Mapenzi hayalazimishwi my dear . Na ukiyaalazimisha utakuja Juta baadae.. usikute mwenzio yuko happy na mwingine wewe unasononeka, shida yote ya nini. Life its too short .. Focus on your things before you lose on yourself . Pole sana... Thanks..
Hahahaaaa! Shikamoo mapenzi
Huyu yupo chekechea ya malove. Kaonja kidogo anataka kubeba sufuria lote.....
Huyu yupo chekechea ya malove. Kaonja kidogo anataka kubeba sufuria lote.....
Hahaaaa! Ila mapenzi hayana uzoefu, haswaaa ukipenda
Aaaahhhhaaaa... mshauri basi mwenzio .. Thanks.