...Yaa, tuanzie hapo kwanza!... Una umri gani?Una umri gani?
Bado una utoto
Sasa kituko mbona umri wako kituko tosha au umeamua kuja humu kwa wakubwa kufanya kituko?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaitwa kituko sio?
Ushauri wangu umeishia hapo!
[emoji23][emoji23][emoji23] hii ndio jeiefu bwanaMajina yanasadifu, alisikika kituko mmoja hivi
Shaur wakuu mapenz yananpa uchizzi nifanyajee???
Una umri gani?