bigboss1
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 319
- 195
Za weekend nadhani mpo powa.
Kulikuwa na mangi muuza duka amepanga sehemu sasa gafla akahamia msichana mrembo mwenye kila sifa mtanashati .
Yaanii hipsi kiuno yaani mremboo eti.
Sasa kuna siku yule dada alikwenda kwa mangii kununua vitu dukanii akamuambia mangi naomba vitu hivi huku anamrembulia vizuri nakumpa tabasamu lakutosha.
Sasa ikawa kama siku tatu nne yule dada akamuandikia mangi message.
Akamtuma mtoto mdogo yule mtoto akampa ile barua mangi kusoma imeandikwa mambo ikifika saa moja njoo kwangu mangii akasoma akaendelea na shughuli zake kufika saa moja akaenda.
Akagonga mlango yule dada akamfungulia mangi soda akampa yule dada akafunga mlango akatoa kanga yakee kifuani akabaki na kinguo kinacho onyesha mwili masikini mangi ilikuwa mara yake ya kwanzaa akashtuka mwili ukalegea akabakii akingaa machoo huku akimshangaa huyo dada .
Mangi akapigwa na butwa yedhu na maria achacha aisee kumbe kuna malaika kama hawa mbona sijawahi kusikia malaika wakiishigi duniani au huyu jini nini ?
Akakimbia resii huku akisema ametumwa nimetumiwa jini kweli ukiangalia kaja juzi tu na mimi ndio ananitaka uwii hamniwezii nimeaga kwetu misimrahisi aisee.