Mapenziii!!!!!!

Aah, mi hiyo lugha yako tu aah waalah weye mh, mzanzibari nini? Mola atakufungulia mwombe sana pia ukipata wasaa wa kukutana na jamaa hebu ongeeni kikubwa mweke mambo wazi eee, hii kitu tunda kama kaonjeshwa na mwingine huko itakuwa ngumu kidooogo eee ila komaa ukiweza nawe mwonjeshe mambo yatajipa tuu. Amen
 
alikuwa si yeye dear alikuwa ni jamaa mwengine aliekuja posa na ndio ye aliposkia khabari hizo akaanza kubadilika,,,mana lazma askie ni mtoto wa baba angu mkubwa (amy),,

mnh basi pole,roho yako imegonga kwake...lakini yeye yake haijagonga kwako!...muulize kwa upole,nini hasa sababu ya kukubadilikia au amepata mwingine anayemzingua???...jiandae ku move on my dear...wanaume ndivyo walivyo ingawa sio wote...wamejaa mapenzi ya usanii:redfaces:
 
we khaa!!! mbona nywele zako ziko upande mmoja jamani???? si utantisha,,

Usiogope mimi nipo kwa ajili yako!kwani nini kibaya hapa nilichokifanya!kwanini umbembeleze mtu asiyekupenda ,wakati mimi nipo ninyekupenda!usipoteze muda wako!!!
 
sitaki mume yeyote roho yangu imegonga kwake na kama imtatokea bahati mbaya basi allah ndie mjuzi wa yote, na ukizingatia yeye ni damu yangu hata tufanyeje itatokea tu siku tutaonana inshallah!!!,,asante kwa ushauri wako mzuri ndugu yangu,,

pole mwaya,
vyovyote itakavyokuwa usigawe tunda kabla ya ndoa coz inaweza kukuletea majuto yasiyoponyeka,maana imagine umpe tunda halafu akutose!
nakutakia matibabu mema huko India au Holand.
 
Kwanza pole kwa kila kitu, Pili hongera kwa kujitunza, ni miongoni mwa mabinti wachache wenye kustahimili mikikimikiki yawanaume wanapowafukuzia!! Bahati mbaya nimeona na nina watoto lukuki, so I'm out kwenye uwezekano wa kukuomba tuwe wapenzi, utabaki kuwa rafiki!
Well, nionavyo jamaa anakupnda ila NAHISI AMESHAPATA MWINGINE na either wameahidiana kuoana au tayari wameshapata na mtoto!! Inamuwia vigumu kuwasiliana nawe kwa vile anajua amevunja ahadi na anaona haya kuku-face, anajua atakuwa ameuumiza sana moyo wako!! Naona umsahau, karibisha mtu mwingine utakayempenda!! ILa always listen to your heart..
Kila la kheri
 
tax my best friend,,,may allah bless u,,
pole mwaya,
vyovyote itakavyokuwa usigawe tunda kabla ya ndoa coz inaweza kukuletea majuto yasiyoponyeka,maana imagine umpe tunda halafu akutose!
nakutakia matibabu mema huko India au Holand.
 
pole mwaya,
vyovyote itakavyokuwa usigawe tunda kabla ya ndoa coz inaweza kukuletea majuto yasiyoponyeka,maana imagine umpe tunda halafu akutose!
nakutakia matibabu mema huko India au Holand.

mmmmh, cheusi ulivyotoa huo ushauri!!!!, najiuliza hapo kwenye red sijui wewe uliweza?
 
ahsante ndio uvumilivu hula mbivu sijui ndivyoo??? na kwa kuoa si rahisi kwa kua ni ndugu wa karibu nami lazima ningesikia na mualiko tukapewa ,,,
 
pole mwaya,
vyovyote itakavyokuwa usigawe tunda kabla ya ndoa coz inaweza kukuletea majuto yasiyoponyeka,maana imagine umpe tunda halafu akutose!
nakutakia matibabu mema huko India au Holand.

Du cheusimangala upo mamie! nimekumiss!!!
 
Nimependa ulivyosimamia maadili yako kama msichana anayejiheshimu!
 
alikuwa si yeye dear alikuwa ni jamaa mwengine aliekuja posa na ndio ye aliposkia khabari hizo akaanza kubadilika,,,mana lazma askie ni mtoto wa baba angu mkubwa (amy),,
pole sana dada nilham,naomba nikuulize hili mpenzi hivi imani ya kiislam inaruhusu kuolewa na mtoto wa baba mkubwa mi nijuavyo ni binamu tu.nihabarishe
 
Moyo ushapenda!!!, hapo hakuna jingine, kubali yalio rohoni dada, kama usemavyo mi naona pia yeye akupenda.

Usijitie dhiki na maradhi, (Hope ulipokuwa waumwa ilikuwa sio sababuye!!), kata shauri we nenda hata kama ni huko Holland ukayajue.

Kidonda cha mapenzi chaumaaa!!!!
 
pole sana dada nilham,naomba nikuulize hili mpenzi hivi imani ya kiislam inaruhusu kuolewa na mtoto wa baba mkubwa mi nijuavyo ni binamu tu.nihabarishe

baba mkubwa au mdogo ndo Amy (au ami) ndo ulipotoka msemo wa bin-ami, waswahili wakamaliza na binamu 😀)
 
baba mkubwa au mdogo ndo Amy (au ami) ndo ulipotoka msemo wa bin-ami, waswahili wakamaliza na binamu 😀)

nikikupigia kura utatuletea maendeleo gani katika jukwaa hili la mahusiano na mashirikiano? naomba jibu kabla sijatumia haki yangu ya kidemokrasia hawa wagombea wengine kwavile hawaonekani nitawaPM.

bek to ze topik: mpaka sasa no comment
 
Hahaha ..........kipindi cha kampeni kilikwisha isha zama nyingi sana bwana, labda kampeni za shuka kwa shuka tu ndo zinaruhusiwa kipindi hiki! lol
 
Pole sana NILHAM kwa yaliyokukuta.
Duh co siri kibuti kibaya sana bt I think 2naweza kfarijiana wote coz ndugu zangu wamenigomea kumuoa binamu yangu nusura 2tengwe na ukoo! Vipi upo tayari kwa hilo? Pls let me know.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…