S,A,,, ndugu na jamaa zangu kwa ujumla,,
mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24 now,,sikuwah kumruhusu mwanamme yoyote kukaribia joto langu la mwili,,,simaanishi sijawahi kujihusisha na mapenzi laa!!! nilisha fall in love na kijana alienipenda nikampenda,,ispokua ni mapenzi ya email sms sim zawadi, bas kwa ajili ya madhehebu tulonayo,,tena hayo yalikuwa ni ya siri,sana bila wazazi wa pande zote kujua na ukizngatia alikua ni mtoto wa amy yangu,,soo soon nilikuja kuposwa nilikataa na lakini huo ndio ulikua mwisho wangu mimi naye na kwa sasa kasafiri holand na kukata mawasiliano yetu,, almost 11months up to now,,sijui kosa langu wallah!! na ni wengi niliowakataa si ofisini wala nyumbani kulinda dreams tulizopanga mimi naye,,,na istoshe alipata khabari ya kumwa kwangu ila hakujali na si kawaida,,,moyo wangu wasema bado nimfatilie lakini na roho nayo yasita...ya raab!!
then pia nilipewa transfar juzi hospital nende india au huko aliko yeye kwa matibabu ya moyo na najua fika wallah tutakutana mana wote hua twafikizia kwa aunt yetu alioko huko ni yeye tuu ndie mwenyeji wetu,,,so wats wrong with him jamani?????na jee kuna umuhimu wowote kukutana tena???sijui hata kueleza jins nikimfikiria,,
Ushauri wangu inawezekana usiupende sana kwa sasa dada, lakini utie moyoni, kuna siku utafanya kazi...
Inaonekana kuwa umelelewa kwa utamaduni wa ki-Asia mashariki, zaidi wa ki-Islam. Well and good dada, lakini unaishi katika dunia (Tanzania) ambayo wallah, inakwenda kasi sana katika utandawazi, na utandawazi sio kitu zaidi ya kuenea kwa utamaduni wa ki-Magharibi. Kwa sasa unaweza kuona kuwa ni rahisi kwako ku maintain msimamo wako wa ki-Islam. Lakini for sure, I tell you, when you will be 27 (three years from now), hautaweza. Sio kwamba utabadilika kwa lazima, bali automatically, akili yako itakuwa imebadilika, na yale mambo ambayo unaona kama watu wanakupotosha humu, ndo utakuwa unayafanya kwa sana. Baki single, au olewa, nakuhakikishia changes are coming very fast to you. Unaona jamaa yako kakutosa kiaina!!, huo ndo umagharibi...
Mwenyewe ameshabadilika pengine kwa kujua au kwa kutokujua...
Kwa sasa ushauri wa mwendawazimu ni huu...
- Usipoteze mda kuwaza sana kuhusu huyo jamaa, acha maisha yako yaendelee, everything will come on its own... dont strain.
- Be stable, but never be rigid, coz when situation forces you to bend you will break. Namaanisha kuwa katika ulimwengu huu wa utandawazi kuwa imara lakini sio kama jiwe.
- Wanaume wako wengi... Kwa sasa unasema moyo wako umegonga kwake, lakini amini kuwa uchumba ni sehemu ya kusomana. Sasa kama waletewa posa tena waikataa, anasusa, je kesho akidanganywa kuwa unatoka na boss, si ndo atakuua kabisa... au ataleta mabinti 40 ndani1?!!
- Naelewa kuwa wa-Asia mna huo utamaduni wa kuoana ndugu... Ulikuwa mzuri pengine kwenu, lakini sasa kwa ulimwengu huu hakuna mtu atakushangaa (hata Mungu ataelewa nadhani), hata kama ukiolewa na Mkurya :teeth:
- You are still very young... bado una mda mrefu wa kuishi na kuyajifunza maisha ya ki-Tanzania na tena bado akili yako ni changa, inawezekana kwa sasa ukafanya maamuzi utakayokuja kuyajutia baadae. Usikimbilie kuolewa.
- Funguka... Come out to the world. Hapa JF ni darasa tosha pia. Mengi yanaongelewa kwa utani lakini ndo maisha yalivyo... Jichanganye kwa stori hata na watu wasio wa-Asia wenzio, utajifunza mengi na utaenjoy maisha...
-