illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
Ni kawaida sana kuona watu wana majini, mashetani, mapepo, maruwani ambapo ikitokea hivyo hutafutwa kiongozi wa dini mwenye uwezo wa kuyatoa au kuyakemea sasa kwa wale kina Ngombale Mwiru huwa wanatakiwa wafanyaje au ndio waende hosipitali waamini kuwa ni ugonjwa wa akili? manake house girl wetu usiku kacharuka huyo mi nimechukua bakora nimemchapa maana naona ananichanganya.