Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Kama tunatakiwa kufanya mapenzi baada ya ndoa, kwa nini tunabalehe kabla ya ndoa? Sidhani kama ni busara kutaja mtu jina humu JF.
tena asubuhi linaomba nauli kabisaZamani ukibalehe tu, unapewa na mke kabisaaaa.
Siku hizi baba la miaka arobaini linaishi kwa mama yake