Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Mie nimezinguka na vivazi vya wadada hasa cha Jokate na huyo mwingine duh!
Mie nimezinguka na vivazi vya wadada hasa cha Jokate na huyo mwingine duh!
Huyo mwenye suruali iliyochanika atakuwa mwanaume ila ana homony za kike kidogo!!!!!!
Hii picha nimeizimia aisee inanikumbusha kijini kwetu maisha raha mustarehe upepo mwanana hakuna jashoMimi niltuwama hapa kijijini kwetu...mida hii napiga hii picha mama muuza hajatokea
...Halafu hiyo mwanawane inaonekana ni full kiyoyozi ukiteremsha tu hicho kipensi mazee unacheka na nyavu si mchezo...inaelekea anatumia mitandao yote huyu demu...!!Hiyo shanga na kipepeo mie hoiiii na huyo kwa kulia nae yuko tight kinoma!
Mimi niltuwama hapa kijijini kwetu...mida hii napiga hii picha mama muuza hajatokea
Ndio nini kaka umetuacha tusiojua kimombo cha majuu??Naona lacefronts kwa sana......