M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Kama taifa tusijipeleke kichwa kichwa huko Eastern Congo hawa Rwanda-EAC member (kupitia Banyamulenge M23) wanachota utajiri wa Congo na kwenda kujenga Kigali huku SADC (ikiwemo Tanganyika na SANDF) wanaenda kuuliwa kama kuku huko na EAC (Tanganyika tena) nao wamevamia mtumbwi wa vibwengo bila kutafakari.
NB: Hii ishu twende nayo taratibu
NB: Hii ishu twende nayo taratibu