Mapigano makali yanaendelea DRC vs M23 licha ya makubaliano

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mashambulizi makali yametokea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) baina ya Jeshi la Serikali hiyo na wanamgambo wa M23, ikiwa ni nis aa chache tangu Rais wa DRC, Felix Tshisekedi kukubaliana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame kupunguza uhasama kuhusiana na mapigano hayo.

Msemaji wa M23, Willy Ngoma amesema: “Makubaliano ya Angola hayana maana kwetu, sisi ni Wacongo na si Wanyarwanda, kama ni makubaliano yanatakiwa kuwa kati yetu na Serikali ya DRC.”

Mapigano ya leo yameripotiwa katika sehemu za Kanyabusoro na Kazuba, Rutshuru ambapo baadhi ya Wakazi wamekimbia makazi yao

Kundi la M23 lilianzisha mashambulizi , ambalo serikali ya Jamhuri ya kidemkrasia ya Congo inadai kwamba linasaidiwa na serikali ya Rwanda, lilianzisha mapigano makali mashariki mwa Congo mnamo mwezi March, na kudhibithi mpaka muhimu wa Bunagana na miji mingine miwili licha ya kuwepo juhudi za kijeshi kukabiliana na kundi hilo.

Source: Africanews

=======

Clashes continue in DRC despite de-escalation agreement with Rwanda

Clashes have broken out in the eastern Democratic Republic of Congo between its military and M23 rebels, the rebel movement's spokesperson has said.

This comes a day after a bilateral agreement to de-escalate diplomatic tensions over the rebellion.

"We are Congolese, not Rwandans. If there is a ceasefire, it can only be between us and the Congolese government," said Willy Ngoma, spokesman for the M23, a movement whose resurgence in eastern DRC has led to current tensions between the DRC and Rwanda.

According to sources interviewed from Goma, the capital of North Kivu, new clashes on Thursday morning pitted the DRC armed forces (FARDC) against M23 rebels, who seized a town in Rutshuru territory, Kanyabusoro.

A FARDC commander accused the rebels of attacking the soldiers there, violating the ceasefire announced the day before, which the M23 denied, accusing the army of shooting it in return.

The M23, for "March 23 Movement", is a former Tutsi-dominated rebellion that was defeated in 2013 and took up arms again late last year, blaming Kinshasa for not respecting agreements on the demobilisation and reintegration of its fighters. Kinshasa accuses Kigali of supporting this rebellion, which Rwanda disputes.

A mediation meeting between the presidents of Rwanda and the DRC was held on Wednesday in Luanda under Angolan President Joao Lourenço. "I am pleased to announce that we have obtained positive results insofar as we have agreed on a ceasefire," he said at the end of the meeting.

Just before, the DRC presidency had announced that Felix Tshisekedi and Paul Kagame had agreed on a "de-escalation process", adding that a "roadmap" had been adopted, including "the immediate cessation of hostilities" and "the immediate and unconditional withdrawal of M23 from its positions in the DRC".

"This roadmap does not commit the M23," said Willy Ngoma, speaking from Goma. "We are Congolese, we have nothing to do with Rwanda," he insisted, "we are asked to leave here, but to go where? It is impossible.
 
FT kabla ya kwenda Angola naye alitusminisha kuwa Jeshi lake sio lege lege, anauwezo wa kupambana na Rwanda + hao M23.

Sasa, kwakuwa kuna dalili zote za mazungumzo yao kushindwa kuzaa matunda, huu ndio wakati wake wa kuwapa kipigo cha mbwa koko hao M23 +Rwanda
 
Jamaa mshenzi sana huyo Felix. Anashindwa nn kuomba msaada kwa nchi marafiki kuwapeleka jehanam hao magaidi wakaungue moto huko. Kam imeshindikana kuoata msaada huku Africa anachotakiwa ni kwenda kwa ndugu Putin apewe tu Chenchen 10 hao wajinga m23 wawe historia.
 
DRC ni dhaifu sana, yaani umethibitisha pasi na shaka umeingiliwa na kanchi kadogo na rais wake anabwabwaja ujinga alafu eti waenda zungumza,wazungumza nn zaidi ya kushusha kisago kama huwezi omba msaada wa kuwashughulikia kama msumbiji siyo kulinda amani😏😏😏
 
😄😄 vijana kwa kukata mauno na ndombolo wako vzr+kujichubua, lkn kwny kulinda nchi Yao wanasubiri kusaidiwa 😄😄
 
Jamaa mshenzi sana huyo Felix. Anashindwa nn kuomba msaada kwa nchi marafiki kuwapeleka jehanam hao magaidi wakaungue moto huko. Kam imeshindikana kuoata msaada huku Africa anachotakiwa ni kwenda kwa ndugu Putin apewe tu Chenchen 10 hao wajinga m23 wawe historia.
Well said, jamaa hawa wa M23 inaelekea wamepania kweli kweli as I said, wana mataifa makubwa nyuma yao, ndio wanawapatia mafunzo,silaha na funding - nilisha sema long term plan ya kundi hili la kubuni ni kuumega Mkoa wa Kivu,madai mengine ni kutaka kuchota akili Dunia,repeat,lengo lao kuu ni kutaka kuumega Mkoa wa Kivu,basi!!

Tsishekedi asichukulie mzozo huu poa, afanye hima aombe msaada kwa Putin ampatie kikundi cha Wegner hao ndio ways wadhibiti M23 na wafadhili wao wakubwa - tuliona kundi hilo la Wegner walivyo komesha ushenzi wa mataifa ya magharibi nchini Mali na Afrika ya Kati. Tsishekedi hana jinsi, asiamini sana majeshi ya EAC-akumbuke baadhi ya majeshi ya EAC sio wakutegemea sana ie hawaeleweki eleweki ie wanaweza kununuliwa na kuendeleza mgogoro wa DRC Congo.

Tukumbuke kwamba Marais waliokuwa na uwezo mkubwa wa kukomesha ujinga huu walikuwa ni akina: Robert Mugabe,Jacob Zuma, Jose Do Santos na Jakaya Kikwete - sasa hawa so called waasi wameona viongozi hao mahili hawapo tena madarakani ndio maana kundi hilo na wafadhili wao wakubwa wamehibuka kwa hari mpya na kasi mpya kwa kuwa wanajua fika kwamba hakuna viongozi wenye msimamo mkali wa kukomesha kundi hili ovyo linalo hatarisha amani kwenye mataifa ya maziwa makuu - watasubuwa sana hawa,wana mdharau sana Tsishekedi na viongozi wengine wa Afrika - hizo ndizo hulka zao ie ujeuri na dharau na kujiona wao ni zaidi.
 
Kwa nini DRC wasipeleke ½ ya jeshi lake huko mashariki ya Congo au wafanye kama Nyerere alivyofanya kumfuata Amin Kampala
 
Mashambulizi makali yametokea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) baina ya Jeshi la Serikali hiyo na wanamgambo wa M23, ikiwa ni nis aa chache tangu Rais wa DRC, Felix Tshisekedi kukubaliana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame kupunguza uhasama kuhusiana na mapigano hayo.

Msemaji wa M23, Willy Ngoma amesema: “Makubaliano ya Angola hayana maana kwetu, sisi ni Wacongo na si Wanyarwanda, kama ni makubaliano yanatakiwa kuwa kati yetu na Serikali ya DRC.”

Mapigano ya leo yameripotiwa katika sehemu za Kanyabusoro na Kazuba, Rutshuru ambapo baadhi ya Wakazi wamekimbia makazi yao

Kundi la M23 lilianzisha mashambulizi , ambalo serikali ya Jamhuri ya kidemkrasia ya Congo inadai kwamba linasaidiwa na serikali ya Rwanda, lilianzisha mapigano makali mashariki mwa Congo mnamo mwezi March, na kudhibithi mpaka muhimu wa Bunagana na miji mingine miwili licha ya kuwepo juhudi za kijeshi kukabiliana na kundi hilo.

Source: Africanews

=======

Clashes continue in DRC despite de-escalation agreement with Rwanda

Clashes have broken out in the eastern Democratic Republic of Congo between its military and M23 rebels, the rebel movement's spokesperson has said.

This comes a day after a bilateral agreement to de-escalate diplomatic tensions over the rebellion.

"We are Congolese, not Rwandans. If there is a ceasefire, it can only be between us and the Congolese government," said Willy Ngoma, spokesman for the M23, a movement whose resurgence in eastern DRC has led to current tensions between the DRC and Rwanda.

According to sources interviewed from Goma, the capital of North Kivu, new clashes on Thursday morning pitted the DRC armed forces (FARDC) against M23 rebels, who seized a town in Rutshuru territory, Kanyabusoro.

A FARDC commander accused the rebels of attacking the soldiers there, violating the ceasefire announced the day before, which the M23 denied, accusing the army of shooting it in return.

The M23, for "March 23 Movement", is a former Tutsi-dominated rebellion that was defeated in 2013 and took up arms again late last year, blaming Kinshasa for not respecting agreements on the demobilisation and reintegration of its fighters. Kinshasa accuses Kigali of supporting this rebellion, which Rwanda disputes.

A mediation meeting between the presidents of Rwanda and the DRC was held on Wednesday in Luanda under Angolan President Joao Lourenço. "I am pleased to announce that we have obtained positive results insofar as we have agreed on a ceasefire," he said at the end of the meeting.

Just before, the DRC presidency had announced that Felix Tshisekedi and Paul Kagame had agreed on a "de-escalation process", adding that a "roadmap" had been adopted, including "the immediate cessation of hostilities" and "the immediate and unconditional withdrawal of M23 from its positions in the DRC".

"This roadmap does not commit the M23," said Willy Ngoma, speaking from Goma. "We are Congolese, we have nothing to do with Rwanda," he insisted, "we are asked to leave here, but to go where? It is impossible.
Sasa, jeshi la Jumuiya limeishia wapi, au lilikuwa biti tu?

Ni kweli Rwanda imekuwa Israel ya Afrika? Kuna siku ataanza kutusumbua na sisi ndiyo tutaamka.
 
Vita ya Congo ni ngumu Sana kutokana na mazingira, haya yote matatizo ni laana kutoka kwa lumumba na MKE wake aliyeamua kutembea uchi wa mnyama baada ya mumewe kufa
 
Msitu ws congo tu pekee yake ni mkubwa kuliko Tz nzima na huko ndiko waasi wamejaa.
 
Je ubajua kwa nin M23 in DRC inaongelewa au inaonekana kuwa tatizo kati ma kunfi 184 yenye Siraha? ni kwa kua ni kundi linalo tafuta mabadiliko,alafu wana muelekeo na uwezo wa kuchka Congo. ndio maana unasikia kuwa M23 ni tatizo na sio makuni 183 aliyobaki kwa kuwa wao shida sio uwongozi bali ni kuiba Mali tu,kuteka na kuua kama ADF na Mai Mai na menginiyo. wao shida sio kuoigania mageuzi kama M23. na always kundi linalo pigania haki yaho au mageuzi linashinda.
 
Cheqavala alishasemaga wakongo starehe Sana wanapenda kuliko majukumu (kazi).....

hapo ndipo kagame anawamalizia
 
Paul hawezi achia Congo kirahisi ndipo anaponyea mrija wake
 
Back
Top Bottom