fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Nasikia Bruce lee alikua anajua kweli ngumi na Kuna baadhi ya mapigano alikua anapigana kweli,Kwa wadau wanaifahamu vyema haya mambo,nauliza kule utube,naona kuna klipu za video zikionesha mapigano kadhaa ya bruce lee na wapiganaji wa kick boxer na maboxers wengine,hivi hizo ni video za kweli au ni kiini macho tu?
Hivi Kuna actors wa movie za mapigano hawajui kupigana in real life??Nasikia Bruce lee alikua anajua kweli ngumi na Kuna baadhi ya mapigano alikua anapigana kweli,
'Kun Kun Kun kun' in Haji manara voice[emoji23]
Ndiyo wapo... Wengi Tuu naanza na Dwayne Johnson (The rock) mobie zake nyingi anatumia stunt double, Ben afflick, Aqua man, The flash na wengine wengiHivi Kuna actors wa movie za mapigano hawajui kupigana in real life??
Licha ya kuwa Ni actor lakini Bruce Lee alikuwa vizuri kwenye martial arts, hasa Kung Fu, Karate, kick boxing, n.kKwa wadau wanaifahamu vyema haya mambo,nauliza kule utube,naona kuna klipu za video zikionesha mapigano kadhaa ya bruce lee na wapiganaji wa kick boxer na maboxers wengine,hivi hizo ni video za kweli au ni kiini macho tu?
Wanaojua kupigana in real life wanaonekana tu mkuu.Ndiyo wapo... Wengi Tuu naanza na Dwayne Johnson (The rock) mobie zake nyingi anatumia stunt double, Ben afflick, Aqua man, The flash na wengine wengi