Mapigano ya DRC na M23 yameishia wapi?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Nakumbuka yalikuwa yamepamba moto, kila chombo cha habari kinawazungumzia wao tu; pamoja na kuonyesha harakati zao katika kuikomboa kongo.

Lakini kwa sasa, naona kuna kimya kingi; au wameshaikomboa kongo?​
 
M23 wamewekewa mtego huko fizi wamechapika (silaha walizoachiwa na jeshi la congo lenye wasaliti ziliokotwa na kikundi cha wazalendo).. wameingia kwa kujiamini kumbe raia wana mitutu..
Ukiongezea na vikwazo hali imekua ngumu kwa m23
 
Nakumbuka yalikuwa yamepamba moto, kila chombo cha habari kinawazungumzia wao tu; pamoja na kuonyesha harakati zao katika kuikomboa kongo.

Lakini kwa sasa, naona kuna kimya kingi; au wameshaikomboa kongo?​
Tangu juzi nawaza hili
 
Uvira hapaingiliki..wajipnge kwanza labda wanawavizia wazalendo wawape rushwa ili wajiunge nao..maimai ni hatari hawaogopi masasi(risasi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…