Mapigo matatu yapunguza Kasi harakati (agenda) za kudai katiba mpya

Mapigo matatu yapunguza Kasi harakati (agenda) za kudai katiba mpya

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
1. IGP Siro haja na taarifa zenye utata dhidi ya Lissu

2. Dialo na Mtaka watoa kauli nzito kuhusu watawala na kutakiwa kuomba radhi kinyume na misimamo yao

3. Msajili wa vyama ahoji kwanini wabunge 19 walifukuzwa chadema

Huu ni mwendelezo wakuwatoa Wana vuguvugu la katiba kwenye harakati za kudai katiba mpya. Tusirudi nyuma,tusitekwe na mijadala yao hasi tubebe agenda moja na tusonge mbele kuelimisha umma na kuamsha hisia za kudai katiba. Yatatokea mengi kutuondoa kwenye reli tuseme KATIBA MPYA NDIYO AGENDA YETU, PROPAGANDA BASI
 
Usisahau tozo mpya za makato kwenye huduma ya fedha za kwenye simu,hayo mengine yote uliyoorodhesha hapa hata mimi nilikuwa siyafuatulii ila akili yangu kwa sasa ime-stuck hapa kwenye ongezeko la kiwendawazimu.
 
WADAI KATIBA MPYA HAWAHANGAIKI NA HAYO MAPIGO MWENDO MDUNDO WA KUDAI KATIBA MPYA MPAKA KIELEWEKE
JamiiForums-1119044223.jpg
 
Hahahahahaha seriously!? Hizo issue za kipuuzi ndiyo zipunguze kasi ya kudai katiba!? Nimepata nafasi ya kumsikia Kigogo leo kwa sauti kule Twitter. Jamaa yuko vizuri sana.
 
kwisha habari yao,kwani wanajipya hawa!,kumbuka kampeni yao kwa Voda,cha kushangaza kwenye kutuma michango ya chama unakuta namba ya Voda imo[emoji23]

Mama aliposema atawaita Ikulu wakanywe chai wakamuombea dua nzitonzito za neema,sahivi wanamponda mama na Mnyaazmungu keshapokea dua njema walizoomba[emoji23]sasa sijui watafanyaje[emoji23]
 
Back
Top Bottom