Mapigo ya moyo yameongezeka

Mapigo ya moyo yameongezeka

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
40,828
Reaction score
99,523
Heshima kwenu wana jamvi...!!

Nimekua na tatizo la kuongezeka kwa mapigo ya moyo kila niamkapo asubuhi.
Hali hii imenianza kwa zaidi ya wiki moja sasa, na pia mapigo ya moyo huongezeka kuanzia ninapoa amka hadi kwa muda wa hadi dakika zisizo pungua 15.

Naomba mwenye kujua nini tatizo au pengine yaweza ikawa dalili ya tatizo gani?
 
Nenda hospitali wakakufanyie uchunguzi wa kina.
 
Heshima kwenu wana jamvi...!!

Nimekua na tatizo la kuongezeka kwa mapigo ya moyo kila niamkapo asubuhi.
Hali hii imenianza kwa zaidi ya wiki moja sasa, na pia mapigo ya moyo huongezeka kuanzia ninapoa amka hadi kwa muda wa hadi dakika zisizo pungua 15.

Naomba mwenye kujua nini tatizo au pengine yaweza ikawa dalili ya tatizo gani?
ZIJUE DALILI ZA PANIC ATTACK
Imekua ni kawaida kusikia mtu akisema ninapanic sana. Je; ni kweli kinachowatokea ni tatizo linalojulikana kama panic attack au ugonjwa wa panic? Dalili za tatizo hili la panic ni kama hizi zifuatazo
Kwanza kabisa; Dalili hizi hutokea ghafla na hufikia kilele au ukali wake ndani ya dakika 10-15. Kwa watu walio wengi; dalili hizi huisha baada ya dakika 20-30 na ni mara chache sana dalili hizi zitadumu kwa zaidi ya lisaa limoja.
PANIC ATTACK HUHUSISHA MJUMUIKO WA DALILI NA HISIA ZIFUATAZO
· Kushindwa kuhema au kukosa hewa
· Mapigo ya moyo kwenda kasi. Heart palpitations or a racing heart
· Maumivu ya kifua (Chest pain or discomfort)
· Kutetemeka (Trembling or shaking)

  • Kutokwa jasho (Sweating)
  • Kichefuchefu au tumbo kuvuruga (Nausea or upset stomach)
  • Kizunguzungu au hata kuzimia (Feeling dizzy, light-headed, or faint)
  • Kufa ganzi (Numbness or tingling sensations)
  • Hot or cold flashes
  • Hofu ya kufa au kuchanganyikiwa (Fear of dying, losing control, or going crazy)
· Choking feeling
· Feeling unreal or detached from your surroundings
IKIWA TATIZO HILI LA PANIC LINAKUPATA NA KUJIRUDIA MARA KADHAA KWENYE MAISHA YAKO NA KUKUNYIMA RAHA AU KUKUFANYA USHINDWE KUFANYA SHUGHULI ZAKO; HUITWA PANIC DISORDER AU UGONJWA WA PANIC. UGONJWA HUU HUTIBIWA NA WATAALAM WA AFYA NA MAGONJWA YA AKILI NA UNAPONA KABISA.
Kwa maelezo zaidi Facebook @
Psychological Support and Mental health Awareness
 
Asante kwa ufafanuzi,
Nitawasiliana na anuani ulionipa
 
Back
Top Bottom