Uchaguzi 2020 Mapigo ya Mungu kwa Farao na Wamisri tayari yametufikia Watanzania, ukombozi wetu u karibu

Wewe sema tu. Mi nimeona mapigo ccm inayotupiga kama kweli sisi ni social being basi mwaka huu tutabadili utawala. Ngoja tuone watatuletea nini
Siku hizi naogopa kuwa Mtabiri, hasa kwa kutumia maandiko Matakatifu, kuna kitu niliandika na kikaja kutokea vile vile, dah ikabidi niogope. Ile thread niliita "Kisa cha Nabii Mzee" iko humu ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye kamanda wenu amepiga kazi gani kwa siku zaidi ya 50? Si amejificha chato? Aje akague miradi sasa siyo kukaa kijijini bila kufanya kazi.
Wewe endelea kujitekenya na kucheka

Sisi tunapiga kazi na magufuli ni kamanda wetu, mtakuja kujua badae tu

Hizi pumba unazoandika hapa hazina nafasi, subili octoba uonee.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ntamaholo

Wewe unaongea ndoto??? Chama gani kimesimama kuchukua nchi?? Nyie ndo mnatukanisha dini nyie


Upinzania au mbadala wa CCM ni nani?

CCM ishajifia kitambo ila maiti hii bado ina nguvu, kuliko hao unaoona walio hai

Sasa haiwezekani umekomaa internet cafe huko mpwapwa kuandika huu utumbo ambao hauuziki.kuna utumbo unaweza kulia ndizi au wali, huu wako unachimba shimo na kuufukia...yaaani hata mbwa asiuone
 
Katiba ndio uongoza na yeyeto huweza ongoza,hakuna mwenye hatimiliki
 
Muda utasem vzr

Its not over until its over...[emoji769]
 
Yaani mpiga polishi na wachoma mishikaki wakiwa wanataka kitu , watatumia kila kitu hata kujifanya wameokoka wakati ukweli ni watu wa mataifa, wengine majambazi lakini sehemu zao za shughuli mapambio kwa kwenda mbele
 
Haujui ilipo wewe na nani? anaekupumulia kisogoni? uliambiwa vimechangwa mnunuliwe vilainishi? Pathetic...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitoa mchango wa shilingi ngapi, waliochanga hawapigi kerere wewe unasubili mandazi kwa shemeji yako unabweka bweka,
Ukitaka kujua matumizi toa mchango utapewa mlejesho wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…