Uchaguzi 2020 Mapigo ya Mungu kwa Farao na Wamisri tayari yametufikia Watanzania, ukombozi wetu u karibu

Pumzi za mwisho za mtu anayetaka kukata roho, hujaribu kutumia chochote kilicho karibu yake kujikomboa kama hii "Saccos "
Kwa kimatumbi watasema , it is the kicks of a dying horse, every spanner will be thrown to save it's life even those which are not relevant for that course"
 
Sasa ni wakati wa kusimama na kuupinga utawala dhalimu, la sivyo tutakuwa pabaya sana jamani.
 
Sasa ni wakati wa kusimama na kuupinga utawala dhalimu, la sivyo tutakuwa pabaya sana jamani.
Ili dhahabu iwe nzuri lazima ipite kwenye moto mkali. Kama moto huu haujatosha basi tukubaliane na tetesi za kauli za Kenyatta akimwambia Nyerere kuwa yeye anaongoza maiti.
 
Ulitoa mchango wa shilingi ngapi, waliochanga hawapigi kerere wewe unasubili mandazi kwa shemeji yako unabweka bweka,
Ukitaka kujua matumizi toa mchango utapewa mlejesho wake.
wewe ndo shemeji yangu, nakugongea dada yako nadhani
 
Kuna watu huku kulalamika lalamika kumewaingia kwenye damu imekuwa wanapenda na si kwamba wanachukizwa.
 
Kuna wengine wako na "MABUMUNDA" badala ya "UBONGO" kichwani 😁😁
 
Anayeombea nchi hii vibaya hajitambui huyo, watu mnashangaza sana maendeleo yote haya hamuyaoni, kukicha kwenye visimu kuchat na kuandika vitu vya kutunga uongo au kuikashfu serekali fanyeni kazi , hakuna dili tena milele.
 
hivi ccm inaangukaje kwa mfano!?
kwa upinzani upi? huu wa akina mdude na mbowe? au upinzani huu wa mitandaoni? au ule wa mangi kinambi na lisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…