N Ntila91 Member Joined Sep 21, 2011 Posts 77 Reaction score 4 Mar 26, 2012 #1 Ebahnaee ninapokuwa kwenye maandalizi yasex mapigoyamoyo huenda mbio hadi najishitukia,kuwa ninamatatizo.
Ebahnaee ninapokuwa kwenye maandalizi yasex mapigoyamoyo huenda mbio hadi najishitukia,kuwa ninamatatizo.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,991 Reaction score 24,211 Mar 26, 2012 #2 Una miaka mingapi? Ke au Me? Umeoa au ni bf/gf relatioship? Mnaonana baada ya muda gani? Ukoo wenu mna magonjwa yeyote ya kurithi, kama pumu, pressure and the like. Una degedege la mapenzi?
Una miaka mingapi? Ke au Me? Umeoa au ni bf/gf relatioship? Mnaonana baada ya muda gani? Ukoo wenu mna magonjwa yeyote ya kurithi, kama pumu, pressure and the like. Una degedege la mapenzi?