Mapindizi cup Tanzania Bara imedhalilika

Mapindizi cup Tanzania Bara imedhalilika

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Ni mashindano ya kuidhalilisha Tanganyika na watanganyika.

Imefungwa Kila timu.
 
Tanganyika ipi, maana kama ni Tanganyika nchi,hiyo haipo
Unaposema Tanganyika haipo, unamaanisha nini? Na kama haipo, imeenda wapi?

Je, ule uhuru tulioupata kutoka kwa serikali ya Muingereza tarehe 9/12/1961, ulikuwa ni uhuru wa nchi ipi? Na ilipofikia tarehe 9/12/1961, Nyerere alikuwa Rais wa kwanza wa Jamhuri, ya nchi gani?

Acheni upotoshaji ndugu zangu wa CCM na huu Muungano wenu wa kipuuzi. Maana siyo poa hata kidogo. Muwe mnajisikia hata aibu basi wakati mwingine.
 
Muulize zile sherehe za kila mwaka na mapunziko wanayopewa wafanyakazi kila trh 9/12 ni ya nini? Ni nchi gani ilipata uhuru siku na mwezi huo?

Mashindano kama haya ya Mapinduzi ni njia ya kuinua Zanzibar na kuishusha Tanganyika. Uzalendo unajengwa kwa njia mbalimbali ikiwepo michezo na sanaa. Timu ya Taifa ni alama ya taifa na utaifa. Huwezi kujenga uzalendo kwa timu ya taifa dhaifu inayofungwa na hata Zanzibar tu na Kenya. Mashindano haya yanalazimishwa kuwepo hata kama muda hakuna, matokeo yake timu za Tanganyika zinapeleka timu dhaifu kwenye mashindano haya.

Timu ya Taifa ni "ALL or NONE" programme. Eidha upeleke wachezaji wote bora mlionao ili wakapambaniea Taifa lao au msishiriki kabisa kukwepa kushusha (tarnish) hadhi ya nchi. Kupeleka timu ya taifa dhaifu kwenye mashindano ni sabotage kwa utaifa, taifa na uzalendo. Ndiyo maana mataifa mengine yaliukataa mwaliko.

Mashindano ni mazuri lakini lazima yaboreshwe zaidi, madhumuni yake yawekwe wazi.
Unaposema Tanganyika haipo, unamaanisha nini? Na kama haipo, imeenda wapi?

Je, ule uhuru tulioupata kutoka kwa serikali ya Muingereza tarehe 9/12/1961, ulikuwa ni uhuru wa nchi ipi? Na ilipofikia tarehe 9/12/1961, Nyerere alikuwa Rais wa kwanza wa Jamhuri, ya nchi gani?

Acheni upotoshaji ndugu zangu wa CCM na huu Muungano wenu wa kipuuzi. Maana siyo poa hata kidogo. Muwe mnajisikia hata aibu basi wakati mwingine.
 
Hii nifedheha kwatanganyika yetu, tena tunafungwa had nawala urojo wazamzibar
Kama malengo yangekuwa kujiandaa na CHAN basi Tanganyika na Zanzibar pamoja (Taifa stars) ndiyo ingeshiriki mashindano haya kama sehemu ya maandalizi. Lakini kama ilivyo sasa sijui tunalenga nini.
 
Kabla ya yote niseme tu kuwa, mashindano yamekosa mvuto,hayana radha,na wafuatiliaji hakuna,walioplani muundo wa michuano hii alikosea pakubwa,ni kheri ualike timu kama SINGIDA BLACK STARS,APR,AZAM,FC LEOPARD nk angalau watu wangetazama na wangeteka attention ya wapenda soka nchini. Ifahamike kuwa kabla ya muungano TANGANYIKA na zanzibar zilikuwa nchi mbili huru,baada ya muungano hakuna haki ya mtu yeyote kujiita MZANZIBAR au MTANGANYIKA bali MTANZANIA. Kukiwepo na ile dhana ya et mimi mza'bar au mtanganyika ni namna ya kutenganisha watu na kuukataa muungano. ina mana huko z'bar waliposema mashindano yatahusisha timu za taifa walitambua kuwa zanzbr ni taifa na tanzania bara ni taifa pia? Hapo ndipo utengano ulipo. Muungano u mbioni kuvunjika ikiwa hakutakuwepo hatua stahiki na madhubuti za kujenga huu muungano. Hakuna tena identity ya watu wa pande mbili kujiita watanzania bali watanganyika au waza'bar, MUUNGANO wetu unaelekea wapi.
 
Mashindano kama haya yanazidisha upana wa ufa kwenye muungano wetu. kama Nyerere angekuwahai vitu kama hivi visingekuwepo. Mtu anaposhangilia kama Mzanzibar na mwingine anashangilia kama mtanganyika inaamsha utengano. Watanganyika wanapomlalamikia refa kuipendelea timu ya Zanzibar dhidi ya timu ya Tanganyika inafufua utanganyika miongoni mwa vijana na kuwachukia wazanzibar na timu yao.
 
Ni mashindano ya kuidhalilisha Tanganyika na watanganyika.

Imefungwa Kila timu.
Wachezaji wa kibongo wengi wao siyo wa kuwategemea malimbukeni sana hizi timu zetu simba na yanga zingekua zinategemea wachezaji wa kibongo tu tungekua tunatolewa mapema sana
 
Hivi ukiita Tanzania bara au Tanganyika kuna shida!!mbona wao wanaitwa Zanzibar na si Tanzania visiwani!!!!!Sisi ni Tanganyika na wao ni Zanzibar
Waambie hao chawa kila Kona. Wajiuluze pia mbona kile chama Cha wanasheria kinaitwa Tanganyika Law Society au Tundu Lisu's Society (TLS) na sio Tanzania bara Law Society?
 
Back
Top Bottom