frenk julius
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 377
- 242
[emoji31][emoji31][emoji31]punguza husda,timu kumiliki mpira ni mikakati ya kupanga mashambulizi, yaakhee hata sisi juzi tulimiliki mpira Sana,bahati yao Mtibwa ,kilipangwa kikosi dhaifu Cha wananchiSimba tumeonyesha kiwango kibovu,kukaa na mpira pasipo kushambulia
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Watoto wa jinsia ya kike huachishwa kunyonya wakifikia umri wa miaka mi2. Lakini wa jinsia ya kiume haachi kunyonya mpaka siku anafariki.
Kwa hiyo yanga jana alifikisha umri wa miaka miwili na akaachishwa na Mtibwa kunyonya
Sent using Jamii Forums mobile app
Na vijana hawakua siria kutafta ushindi wanafanya madoido tu kipumbavuSimba tumeonyesha kiwango kibovu,kukaa na mpira pasipo kushambulia
Sent using Jamii Forums mobile app
MmeanzaKagere aanze kujitathmini sasa.
Uwezo wake unazidi kupungua.
Mechi ya Simba na Azam ya nusu fainali Mapinduzi Cup iliyofanyika tarehe 10/01/2020, amecheza chuni ya kiwango sana.
Nafasi za wazi yeye na kipa beki yupo mbali, anapasia kusikojulikana.
Anakosa penati kwa kupiga kashuti dhaifu kabisa.
Karibu mechi nne sasa hajafunga.
Simba bado tunahitaji mshambuliaji wa mwisho wa kiwango cha Kipre Cheche.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo bana,ile sio machine ya kukoboa,anatumia damu na nyama. Hakuna biandamu anayeweza kufanya kitu kwa kiwango kilekile Siku zote. Mfuatilie Chama alishayumba lakini sasa amekuja juu. Tazama Deo Kanda alivyoanza,leo hii anaimbwa ni hatari.Kagere aanze kujitathmini sasa.
Uwezo wake unazidi kupungua.
Mechi ya Simba na Azam ya nusu fainali Mapinduzi Cup iliyofanyika tarehe 10/01/2020, amecheza chuni ya kiwango sana.
Nafasi za wazi yeye na kipa beki yupo mbali, anapasia kusikojulikana.
Anakosa penati kwa kupiga kashuti dhaifu kabisa.
Karibu mechi nne sasa hajafunga.
Simba bado tunahitaji mshambuliaji wa mwisho wa kiwango cha Kipre Cheche.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi ya power bank imeanza kuonekana. Fanya haraka mtafutie nyingine, bila hivyo ndiyo utakuwa mwishoKagere aanze kujitathmini sasa.
Uwezo wake unazidi kupungua.
Mechi ya Simba na Azam ya nusu fainali Mapinduzi Cup iliyofanyika tarehe 10/01/2020, amecheza chuni ya kiwango sana.
Nafasi za wazi yeye na kipa beki yupo mbali, anapasia kusikojulikana.
Anakosa penati kwa kupiga kashuti dhaifu kabisa.
Karibu mechi nne sasa hajafunga.
Simba bado tunahitaji mshambuliaji wa mwisho wa kiwango cha Kipre Cheche.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Mkuu,Wabongo bana,ile sio machine ya kukoboa,anatumia damu na nyama. Hakuna biandamu anayeweza kufanya kitu kwa kiwango kilekile Siku zote. Mfuatilie Chama alishayumba lakini sasa amekuja juu. Tazama Deo Kanda alivyoanza,leo hii anaimbwa ni hatari.
India wewe basi
Mfumo wa sasa wa Simba haumfanyi Kagere kung'a tena. Anacheza peke yake mbele, tofauti na msimu uliopita alpokua sambamba na akina Bocco & Okwi kwa pamojaKagere aanze kujitathmini sasa.