Mapinduzi Cup 2021

Simba anacheza tena kesho..?
Duuu hii kali sasa.
 
Haya mashindano yangeboreshwa zaidi kwa kuwekwa kwenye kalenda za TFF na ZFA kwani mwaka huu ratiba imekuwa kikwazo sana imagine leo azam wamealiza mechi muda huu then kesho saa kumi wacheze na utopolo. Ni wazi kuwa TFF na ZFA hawakuzingatia hili kwa mwaka huu
 
Mwenyewe huwa nashangaa Sana. Yangetafutiwa udhamini na kuboreshwa zaidi. Yawe yanachezwa katikati ya ligi. Inapofika tarehe 12 inapigwa tu fainali. Na timu zingeongezwa kidogo kuliko uhuni uhuni wa safari zote hizo
 
Yanga leo wampange Dikson Job
 
Yanga wanafanya ujanja ujanja watolewe ili wasikutane na Simba.

Naona kabisa makosa yao ni kama watu wanaowachezesha shere mashabiki zake.
 
Eti Yanga fainali mnamtaka nani? Namungo au Simba?

Kuna jamaa hapa ukumbini anawauliza
 
Hee kuna timu ishaanza kujuta kwa nini imeingia fainali.

Kesho kutwa kili IV....kwa mtanange pale amani.
 
Haya magoli ya anayofungwa simba sijui ni kwa nini hawataki kubadilika.

Champs lg watapata tabu sana.
Mno tena.....

Tatizo lao ni SUGU....kumbe ile mechi ya Platinum walicheza JIHAD tu...wakisaidiwa na;
1.Mwamuzi kuwapa penati nje ya 18....
2.Paka wao MWEUSI.....

Tunawasubiri FAINALI....
 
Champs lg watapata tabu sana.
Champions league ndio hiyoinayoendelea, wamefunga magoli matano na wameruhusu goli moja hadi sasa. Au unazungumzia Champions League ya mwakani 2021/2022 ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…