Mapinduzi cup: Simba yaibamiza Jang'ombe magoli mawili bila majibu, kukutana na Yanga

Casuist

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2014
Posts
1,189
Reaction score
2,970
Kombe la Mapinduzi linaendelea mjini Zanzibar na mechi ya kwanza siku ya leo ni Simba anakabana koo na Jang'ombe Boys. Suluhu au ushindi kwa Simba vitamfanya aongoze kundi, ushindi kwa Jang'ombe utamfanya aongoze kundi. Mshindi wa kundi hili atakwaana na Yanga nusu fainali.

Mpaka sasa mpira umeanza na milango bado migumu kwa pande zote.

12' Simba anaongoza kwa goli moja kupitia kwa Laudit Mavugo.

45+' Mpira unaenda mapumziko, simba bado anaongoza goli moja.

Mpira umeisha na Simba imeshinda magoli mawili bila majibu yote yakifungwa na Laudit Mavugo. Simba watakwaana na Yanga kwenye nusu fainali siku ya Jumanne.
 
Forward ya Simba bado inatia Shaka
 
Dakika ya 54: Mavugo anaipatia Simba bao la pili shuti kali.

GOOOOOOOOOOOO!!!!!!
 
Makombe kama haya pamoja na Mtani jembe ndiyo huwa ya Simba,yale ga ya ushiriki wa Kimataifa wanayasikia redioni.
Acha maneno.....endelea kulamba koni si mmepewa koni 4...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…