Mapinduzi cup: Simba yaibamiza Jang'ombe magoli mawili bila majibu, kukutana na Yanga

Simba SC tuna hazina kubwa sana ya makipa.
Nawatahadharisha mikia fc, msiingie uwanjani mkidhani kuwa mtapata ushindi rahisi kama ule wa lambalamba, jipangeni barabara!

Namshukuru Mungu kwa kuwa ametupatia fursa ya kufuta makosa yote yaliyotokea jana, tunakwenda kuthibitisha ubora wetu mbele ya mikia fc.

Wasukuma husema:
Utizhubhona ndimu iligigila uhaya ukwedima bho nhambo (Usione mnyama pori anachechemea ukadhani utamkamata kwa mbio).

Waswahili husema:
Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi.
 
Mnyama lazima atajwe tu kwa vyovyote vile

Mnyama mkali pengine kuliko wote mwituni

Endelea kujifunika kaniki tunakupiga mwendo wetu huu 2 au 1 na hakuna Martin Sanya kule
 
Haha.. kuhusu mechi ijayo nitatoa tamko soon.. ila afe kipa.. afe beki.. lazima muondoke na kapu la magoli.
 
J4 sembo na wenzio tusikimbiane. Mark my words...
Usijali Mkuu.. siku hiyo sitakua eneo korofi.. nitajitahidi hii historia mnyama anayoenda kuweka nakua shahidi [kumfunga ndala goli nyingi,]. ili niweze wasimulia wajukuu zangu.
 
Ananitekenyaga akinyonga Yangaa ananitekenyaga akinyongaa,Yanga mama shika magoti,nimesimama kama ngongoti,mtoto JoJo si robot......
 
Mbeleko mwisho uwanja wa taifa... kule mapemaaaa mnyama anang'ata Ndala FC
 
Makombe kama haya pamoja na Mtani jembe ndiyo huwa ya Simba,yale ga ya ushiriki wa Kimataifa wanayasikia redioni.
Mkuu jitahidi kumaliza hizo koni 4 maana kesho tunakuongeza nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…