Mapinduzi Cup, Timu kubwa ziwe zinapeleka timu C

Unapelekaje timu C, hao wachezaji hiyo ndiyo kazi yao..vile vile kumbuka timu zingine ziko kwenye mashindano ya kimataifa hivyo ni fursa kwa ajili ya maandalizi na kuwajaribu wachezaji wapya wanaotarajiwa kuwachukua kwenye usajili wa dirisha.
 
Wachezaji wanaoshiriki mashindano ya kimataifa hawaongezewi chochote na mashindano haya ya mapinduzi sababu wanakutana na wachezaji ambao hawana quality kulinganisha na wale wa watakaoshiriki mashindano ya kimataifa.
Malindi, chipukizi na kmkm wako daraja la chini kwa upande wa quality.

Simba, Azam, Yanga, Singida washacheza kwenye ligi so haina maana yoyote kucheza tena kwa kigezo cha maandalizi.

Wachezaji professionals hawafanyiwi majaribio. Only Amateurs ndio hufanyiwa majaribio. Bongo tunafanya vitu hovyo.
Kaz ya scouts ni kuwaangalia wachezaji wakati wanacheza kwenye ligi zao na kutoa recommendations kwa benchi la ufundi.
 
Mashindano yako Kwa ajili ya kuwafurahisha wazenji kwenye siku ya mapinduzi. Halina tija yoyote kwa klabu zinazoshiriki.
Najiuliza siku klabu zikigomea zitafanywaje?
Hao viongozi wa hizo timu zitakazogomea mtawaokota kwenye viroba, timu zinaweza kugomea mashindano ya cecafa lakini sio mapinduzi, haya mashindano yapo kisiasa zaidi
 
Mashindano yako Kwa ajili ya kuwafurahisha wazenji kwenye siku ya mapinduzi. Halina tija yoyote kwa klabu zinazoshiriki.
Najiuliza siku klabu zikigomea zitafanywaje?
Kwa mfano Tim gan inaweza kugomea mashindano hayo , hebu toa mfano
 
Zote kutoka bara. Huwez kuwa kwenye mashindano ya kimataifa halafu unapeleka wachezaji wakacheze kombe la mbuzi
 
Mashindano yako Kwa ajili ya kuwafurahisha wazenji kwenye siku ya mapinduzi. Halina tija yoyote kwa klabu zinazoshiriki.
Najiuliza siku klabu zikigomea zitafanywaje?

rekebisha kauli yako mkuu, Ni kwa ajili ya kuwafurahisha CCM.
 
Hili kombe lipo kwa ajili ya CCM, siku CCM ikitoka madarakani nalo linakata moto hapo hapo.
 
Hatimaye kwa mara ya kwanza mashabiki wanafiki wa Simba na Yanga wameungana kuyasuta mashindano ya kombe la Mapinduzi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…