Mapinduzi Cup

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Kwa wale wanaofatilia haya mashindano yenye ukwasi wa milioni 100 kwa mshindi wa kwanza na 80 kwa wa pili ambayo yameanza Leo wawe wanaweka updates hapa ili sisi watumiaji wa Dstv tujue Nini kinaendelea
Mfano Leo bingwa wa mashindano hayo msimu huu kacheza na bingwa wa msimu uliopita je nani kashinda nani kashindwa
NB:All the best Yanga wakikaa vibaya tulichukue na kuondoka nalo
 
Matokeo
Mlandege 0 Azam 0 game one
 
Mshindi wa pili 80? Watangazaji huku zenji wanasema ni 70.
 
Tff waangalie upya kuhusiana na hilo bonanza la mapinduzi, yani ligi inasimama kupisha bonanza hii sio sawa kabisa
 
Tff waangalie upya kuhusiana na hilo bonanza la mapinduzi, yani ligi inasimama kupisha bonanza hii sio sawa kabisa
Ajabu sana mi nadhani zingetumika under 20 ingekuwa poa
 
Nipeni kikosi cha Deportivo de Utopolo bila kuwa na wachezaji wake walio timu ya taifa. Naona kuna dalili za watu kukimbia mashindano
 
Wamekusikia, tegemea lolote kuanzia sasa.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Hakuna anaefatilia sana hili kombe la wapigania uhuru ila KVZ amefanikiwa kuzindua uwanja kwa ushindi wa goli 2 leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…