Mohamed Bouazizi, kijana mdogo, moambanaji alieamua kujichoma moto mbele ya ofisi za serikali baada ya kufanyiwa dhuluma kwa kutaifishiwa kibanda chake cha mbogamboga na polisi na kutukanwa.
Alipoona barua zake hazijibiwi na maafisa wa serikali, na jitihada zake hata za kumuona raisi zimeshindikana aliamua kuwahisha kifo chake.
Lakini damu yake haikumwagika bure. Iliamsha hisia za wananchi na kusababisha mapinduzi ya raisi wa Tunisia, Zine al-Abidine Ben Ali mwaka 2011. Baadae nchi nyingine zilifuata kama Lybia, Egypt, Yemen, Syria n.k
Nahii ni simulizi yake.