Mapinduzi: Kunguru kamnyea binadamu

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kunguru kumyea binadamu sio kujua kulenga shabaha bali ni bahati mbaya tu, Yanga ilifungwa kwa bahati mbaya tu sio ufundi wa Simba na Azam. Hata hivyo Plujin ni bora kuliko Lwandamina, over!!!
 
HATA UKIJILIWAZA HAIFUTIKI YANGA KALALA KWA SIMBA
 
Mwenye lile songi naipenda simba mshabiki Wa damu aniwekee...Nataka niiweke Kwa loudspeaker hapa majirani waburudike!!
 
Unapgwa na tim mbil ndan ya wik bad unasema wabov, sawa ckatai bt jua ht km wabov ila we n zaid, kwan nyie mmecheza mpra gan labda? MFUPI MBELE YA MFUP ZAID HUYO NI MREF MKUU
 
Kunguru kumyea binadamu sio kujua kulenga shabaha bali ni bahati mbaya tu, Yanga ilifungwa kwa bahati mbaya tu sio ufundi wa Simba na Azam. Hata hivyo Plujin ni bora kuliko Lwandamina, over!!!
Kumbe kunguru wamecheza mpira mzuri kuliko nyie binadamu? That can't be sportsmanship...acha mahaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…