Mapinduzi makubwa duniani yameletwa na matumizi ya zana za madini ya chuma, ni heri uache vyote ili uchimbe chuma kama unayo

Mimi mwenye akili kubwa nimekuelewa
 
Hawa kina Trump na Joe Biden wameapa kugeuza hali hiyo, muda ni mwalimu mzuri wa historia tusubiri mwaka 2050 kama lengo la kauli mbiu zinazofanana za uzalendo za Republican "Make America Great Again " na ya Democrats ya "Buy American" ambayo ni ya Uzalendo-wa-kihafidhina zaidi ya kauli ya Trump wa Republican, zitafanikiwa.
 
Tumshuru Mungu kutupa Magufuli kama Rais, hata wanaompinga ni wale wasioipenda CCM kwa tabia na historia zake za kuendesha mambo kisultani.

Rais Magufuli amekosa tu watu strong wanaomzunguuka wanaofahamu nini anamaanisha ile wamshauri vema kwenye vipaumbele. Uchimbaji vya chuma, Kilimo, misitu na uchumi wa bahari haviwezi kuketishwa siti za nyuma kwenye mipango yetu. Bado sikubaliani na pesa inayotumika kwenda Dodoma na SGR na ndege badala ya kukuza tehema, kilimo cha umwagiliaji, banndari na meli za uvuvi wa kisasa, chuma na mazao ya misitu. Dunia inhetutafuta tu hata kama haitaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…