Mapinduzi ya kifikra ya Thomas Sankara yaliyoibukia Kwa captain Ibrahim Traore

Mapinduzi ya kifikra ya Thomas Sankara yaliyoibukia Kwa captain Ibrahim Traore

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Wakuu
Ukimuua mwanamapinduzi umeua mwili wake na sio mawazo ya kiana mapinduzi ndani yake.

Tom Sankara aliwahi kupata uchungu mkubwa juu ya wizi wa rasilimali uliofanywa Kwa miaka mingi nchini Burkinabe na mfaransa ambae huiba na kwenda kujenga kwake, mapinduzi hayafi kuibuka Kwa captain ibrahim traore umekua mwiba Kwa mfaransa, na Kwa sasa amemfurusha kabisa mfadhili huyo wa ugaidi hapo west africa.

Anaendelea na ujenzi wa mifumo yote kuanzia miundom binu kama barabara na reli za kisasa ili kurahisisha utoaji huduma za usafiri hapa na pale, ujenzi wa vituo vya afya.

Kwa sasa urusi wanajenga vinu vitatu vya nuklia Kwa ajili ya uzalishaji wa umeme nchini Burkinafaso na hiyo itakua ni pamoja na urusi kujenga upya jeshi la kizalendo la Burkinabe na vikosi vyote maalumu ikiwapo kile cha kuzuia ugaidi, (CTU) .

African second economic revolution inaamka Kwa kasi kubwa vijana wa kitanzania amkeni amkeni tukatae Rushwa, Uzembe.
 
Back
Top Bottom