Kizimbuzi JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 1,569 Reaction score 745 May 15, 2015 #1 Kama kupanga, kujaribu, na kusaidia kuipindua serikali, ni kosa kisheria, je, mapinduzi yakifanikiwa, na wana-mapinduzi wakatwaa madaraka, je, kisheria hawa wana-mapinduzi wanaweza kushitakiwa?
Kama kupanga, kujaribu, na kusaidia kuipindua serikali, ni kosa kisheria, je, mapinduzi yakifanikiwa, na wana-mapinduzi wakatwaa madaraka, je, kisheria hawa wana-mapinduzi wanaweza kushitakiwa?