Samia Must go maana yake huyo sio Chaguo la watanzania, ameingia ikulu kwa mtutu wa Bunduki. Hana tofauti na magaidi wengine.Huku kwetu mitaani wafanya vurugu waliandika ujumbe wao kwenye kuta na mawe maneno 'Samia must go'. Ndiyo nikajua ahaaaaaa kumbe hizi vurugu ndiyo namna yenyewe ya kupindua. Nilipoona maandaishi yale nikajua kuwa lazima watakufa watu wengi kama madhumuni ndiyo hayo. Lakini naona serikali bado imesimama hadi leo hii ipo.
Ni nini kitafuatia kwa serikali na wanamapinduzi baada ya mapinduzi kushindwa. Tutarajie kuona nini??
Kwanza kulikuwa hakuna Mapinduzi wala jaribio la Mapinduzi. Mapinduzi hutanguliwa na njama... Tarehe 29/10/2025 hakukuwa na njama bali kutokuridhika kwa watanzania wengi wenye akili timamu kuhusu mambo mbali mbali.Kuviziana
Taja sifa za Uhaini... Wenzio mwezi wa Saba Sasa wapo mahakamani wanatangatanga.BAADA YA MAPINDUZI KUFELI NI MARIDHIANO MATAKATIFU . ILA SERIKALI HAINA KUNEGOTIATE NA WAHAINI .