johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndio maana tunaomba hekima ya Mungu ikatawale hapo NEC!Kama maamuzi ya Tume hayawezi kupingwa popote hata mahakamani,basi sheria hii ni ya hovyo mno.
Kama Jiwe akiagiza aenguliwe,nani atapinga?Ndio maana tunaomba hekima ya Mungu ikatawale hapo NEC!
Aenguliwe nani bwashee?Kama Jiwe akiagiza aenguliwe,nani atapinga?
Ataenguliwa yeye!!! Mwaka huu lolote laweza tokea. Sidhani kama watu wenye akili kwenye vyombo vya dola wataruhusu nchi iingie kwenye machafuko au kuwekewa vikwazo kimataifa kwa matakwa ya mtu mmoja tu. Hapana!!!Kama Jiwe akiagiza aenguliwe,nani atapinga?
Kama maamuzi ya Tume hayawezi kupingwa popote hata mahakamani,basi sheria hii ni ya hovyo mno.
Uwezo huo hana, huyo jiwe sometimes mnampa sifa na kumuogopa asivyostahili.Tatizo la wapinzani wengi except Lissu hatujajiandaa kisaikilojia ndo maana hatujuamini,kila kitu tuna hofuKama Jiwe akiagiza aenguliwe,nani atapinga?
Wananchi ni hatua ya mwisho bwashee!Kwanini mapingamizi wao waje uwanjani watapata mapingamizi huku kwa wananchi.
" kama "Jaji Kaijage sio Pontio Pilato
Kama maamuzi ya Tume hayawezi kupingwa popote hata mahakamani,basi sheria hii ni ya hovyo mno.