Mapingamizi yote yanatupwa, tujadili

Mapingamizi yote yanatupwa, tujadili

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,108
Reaction score
5,110
Tangu kesi ya Mbowe na wenzie ianze upade wa utetezi umeweka mapingamizi kama sikosei matatu na yote yametupwa.

Ningefurahi kama wangetokea wanasheria huru waweke ushabiki pembeni) na watusaidie kuyajadili haya mapingamizi na technicalities zake.

Tusio wanasheria tusome tu na tuwaachie wataalamu!
 
Hata wakija wakaelezea hapa haitasaidia chochote na wala haitaweza kubadili chochote. Kikubwa mawakali wa utetezi waendelee kupambana tu wasikate tamaa na pia kuna toom nyingine kwa wao kuyakatia tufaa maamuzi yote wakiona hayafai ktk mahakama ya juu.
 
Hata wakija wakaelezea hapa haitasaidia chochote na wala haitaweza kubadili chochote. Kikubwa mawakali wa utetezi waendelee kupambana tu wasikate tamaa na pia kuna toom nyingine kwa wao kuyakatia tufaa maamuzi yote wakiona hayafai ktk mahakama ya juu.
Hii ndilo la msingi...

Mawazo ya Godbless Lema kuomba chama [CHADEMA] kuwaondoa mawakili wa m/kiti mahakamani, yasiungwe mkono...

Ni kupambana mpaka mwisho bila kujali hukumu itakuwaje. Wakihukumu kwa kuonea watuhumiwa, haimaanishi kuwa Freeman Mbowe ni gaidi kweli...
 
Maamuzi ya majaji hao yanaenda kutupwa kwenye rufaa, tena kwa lugha kali sana. Huwezi kutumia ,uamuzi wa mahakama ya chini ukaacha ule wa mahakama ya rufaa.
 
Hawa majaji wa kimkakati aliowaleta mwendazake kwaajili ya KAZI MAALUM, ni vichekesho sana na aibu kwa CCM. Yaani wamejikita kutoa maamuzi kwa kutumia MAONI YAO (ambayo kimsingi ni MAONI YA CCM) badala ya kuzingatia matakwa ya kisheria, inafikirisha sana kwa namna mahakama zetu zilivyo WEKWA MFUKONI.
 
Jamani hakuna MTU wakutupa mtiririko wa yanayo jiri Mahakamani 2/12/2021
 
Back
Top Bottom