Hii ndilo la msingi...Hata wakija wakaelezea hapa haitasaidia chochote na wala haitaweza kubadili chochote. Kikubwa mawakali wa utetezi waendelee kupambana tu wasikate tamaa na pia kuna toom nyingine kwa wao kuyakatia tufaa maamuzi yote wakiona hayafai ktk mahakama ya juu.