Mapishi - program ya simu

ahsante sana, yaani Jf mambo yote nilikuwa natafuta sana kitu kama hiki, UBARIKIWE, sasa husband atafurahia angalau vyakula tofauti na alivyozoea
Asante sana dada Mocrana.
Ikiwa kuna matatizo yeyote katika application hiyo ya mapishi nijulishe.
 
Application yenyewe mbona kimeo kila unachotaka unambiwa error :thumbdown::thumbdown:
 
Watu wengi sana wameipanda sana application hii hasa kina mama (Wanawake).
 
Application yenyewe mbona kimeo kila unachotaka unambiwa error :thumbdown::thumbdown:

Ndugu Hero,

Haina Error yeyote.

Inafanya kazi, kawaida kabisa.

kama kweli umepata error naomba tutumie jina ya error hiyo.
 
Mahmood nimeshindwa kudownload unaweza kunielekeza steps maana nimeclick install nothing is happening
 
Last edited by a moderator:
Hapa umetusaidia wengi kwakweli

Asante sana dada Chocs,

watumie wanawake wenzako pia Application hii ya mapishi itawafaa sana kina mama na itafaa kwa familia yote pia.

Wanawake wengi sana wameipenda sana Application hii.
 
Mkuu mbona sioni kibuton cha kuinstall? Hebu tupe process

Ndugu Annabrenda,

Bonyeza link ya ku-download iliopo hapo juu, kisha chagua play store baada ya hapo ponyeza Install.

Shukran.
 
Mie kwangu imeshindikana it just say the App is not compatible with my phone, any advise as yo what I need to do to get it???
 
Mmmmmh nimeshindwa pia sijui kwanin, naomba msada tafadhali

Ndugu aqeeler,

Kwangu ina-download na ina-install kama kawaida (nimejaribu simu zaidi ya 5 zote OK), pia watu wengi wame-download zaidi ya watu 5,000 (Elfu tano).

Please click this link (in your phone), then select play store after that click Install.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…