Mapishi - program ya simu

Hii kitu inahitaji android ngapi? Maana mimi natumia android v2.2 lkn nikiidownload ktk play store inaniambia my divice not competible with this app
 
Inasema my device isn't compatible na hyo version .......
 
Hii app ni ya ukweli, nimeitumia muda mrefu sasa.
Inavyakula vya kiasili vya nyumbani.
 
Mahmood ,fanya mambo njaa inauma bhana ,nimeidownload na kuinstal .sasa ninapojaaribu kuifungua napata orodha tu nikiselect hamna liwalo !nifahamishe faster njaa inauma na wife kasafiri
Update!
Basi Mkuu mambo yako sawa sasa ,wacha niingie jikoni nafikiri nilikuwa na pupa kwa ajili ya njaa!
 
Application haipo tena play store wanasema item not found.
 

nitakuwa nakusa nidhamu na adabu nisiposema SHUKRAN SANA MKUU... among my best hobbies ukiachilia mbali computer ni mapishi,na sijisikii raha kam nikimaliza wiki sijaingia jikoni mwenyewe yena kwa raha na kupika ila hii ninyongeza tamu sana katika collection yangu,.. narudia tena SHUKRAN SANA kwa kazi safi uliyoitend.. tafadhali nipatie na website kama ipo nizidi kujipatia mapishi mapya kila leo... kazi nzuri mkuu Mahmood
 
Kwangu imegoma, inakuja tu list ya vyakula ila nikiselect naambiwa application error
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…