miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Ni sahihi swali lako. labda ambaye amewahi kupika chapati kwa kutumia maji baridi aje atueleze pia itatusaidia.
Cc: espy miss chagga Dinazarde Mkunde Original Nifah sister everlenk MziziMkavu Nyani Ngabu
Nikiona gazeti la udaku apo nitaamini hizo picha,.
Nimekata tamaa, umeona wapika kitu latokea bati?
Nisipojua chapati ntajua kingine bwanaJifunze um-surprise my-husband-wako.
Mhh! Walisema kipimo cha mke bora basi ni mapishi yake ya chapati, sasa kama hujui kupika kabisa...sijuiiii!!!
zinakuwa laini hata ukiziacha ndani ya siku tatu...Haika mae.
Je, huwa zinakuwa laini utakavyo?
Na pili je, ni kwa nini huwa unatumia maji ya moto na si baridi?
Piga na mkeo evelyn salt mkiwa mnakula hivyo vyapati[emoji28](kidding)Mkuu au linganisha mkono huu na huo uliopo kwenye picha zilizoambatanishwa kwenye thread. Usipoamini hapo basi tena...
View attachment 455454
Mkuu upo vizuri. Nakuaminia.Mkuu au linganisha mkono huu na huo uliopo kwenye picha zilizoambatanishwa kwenye thread. Usipoamini hapo basi tena...
View attachment 455454
Nisipojua chapati ntajua kingine bwana
Akitaka chapati nampikia za maji nzuriiiiii
zinakuwa laini hata ukiziacha ndani ya siku tatu...
mama yangu wakati ananifundisha ndiyo aliniambia tumia maji ya moto ili unga unyambuke na baadae mafuta ya moto sasa kiukweli sikumuuliza kwa nini si maji ya baridi
hiz ndiyo chapati nzuri msalimie wifiJifunze my dear..hata mimi nilikuwa naogopa sana kabla ya leo!
Thank you, wifi yako Evelyn Salt naye kanifundisha vivyo hivyo!
duu hata mi mwanzo nilikua mzito kuamini izo picha ...haya bhana tumeelekea kibra tayariMkuu au linganisha mkono huu na huo uliopo kwenye picha zilizoambatanishwa kwenye thread. Usipoamini hapo basi tena...
View attachment 455454
hiz ndiyo chapati nzuri msalimie wifi
Hahahhaah
duu hata mi mwanzo nilikua mzito kuamini izo picha ...haya bhana tumeelekea kibra tayari
Teh teh tehHivi mkuu unapo sema binti wa kike tu unamaanisha nini? Kwani kina binti wa kiume?
Zimefika. Naye anakusalimia, leo anajisikia uvivu kidogo!
Nashukuru kwa kuamini!
Kama ni recipe nimeikuta mitandaoni nikaipenda nitasema. Kama ni mimi nimepika nitasema pia.
Nasubiria mrejesho wako baada ya kujaribu mapishi haya!
kwa kwer nitakuwa mteja wako chai maziwa na chapat 4 ahaaa magu akja kusikia break fast hiiπππππππππ³π³π³π³vipi tukifungua mgahawa utakuwa radhi kuwa mteja wetu???
asijali apumzike tuZimefika. Naye anakusalimia, leo anajisikia uvivu kidogo!
Nashukuru kwa kuamini!
Kama ni recipe nimeikuta mitandaoni nikaipenda nitasema. Kama ni mimi nimepika nitasema pia.
Nasubiria mrejesho wako baada ya kujaribu mapishi haya!