Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
unga unaumuka chapati zinakua lainiHivi wife, na vili ule muda wa kuacha baada ya kukanda...unasaidia nini?
Whaaat!
Naanza kumkazia apike chapati
Mi chapati huwa zinanijaza tumbo [zinanifanya nijisikie nimeshiba mno] sana.
Hivi mpo mlio kama mimi?
Na kwa sababu hiyo huwa sizili mara kwa mara.
Itakua hupendelei vitu vya mafuta ndio mana au samli inakukinaisha
Vitu vya mafuta nakula sana aisee.
Thank goodness nina fast metabolism na ni gym rat la sivyo ningekuwa kama Le Mutuz😀.
Huwa napenda sana kukaanga samaki [Tillapia] na kuku kwenye deep fryer na huwa natumia olive oil.
Nadhani itakuwa ni ngano inayonipa hiyo 'replete feeling'.
Ila ingekuwa ni ngano basi maandazi nayo yangekuwa yananipa hiyo feeling lakini nikiyala huwa sijisikii kama vile ambavyo huwa najisikia nikila chapati.
Hakuna chapati laini vizuri kama inayomixiwa na maboga...niliwahi kula mahali flani kiukweli ni nzuri.Kuna uzi niliwahi kusoma hapa ulisema maji ya kukandia yawe ya baridi kiasi ndio chapati zinakuwa laini... hongera kwa mapishi
Olive oil....like Bertoli, that's best cooking oil with no colestral at allVitu vya mafuta nakula sana aisee.
Thank goodness nina fast metabolism na ni gym rat la sivyo ningekuwa kama Le Mutuz😀.
Huwa napenda sana kukaanga samaki [Tillapia] na kuku kwenye deep fryer na huwa natumia olive oil.
Nadhani itakuwa ni ngano inayonipa hiyo 'replete feeling'.
Ila ingekuwa ni ngano basi maandazi nayo yangekuwa yananipa hiyo feeling lakini nikiyala huwa sijisikii kama vile ambavyo huwa najisikia nikila chapati.
Olive oil....like Bertoli, that's best cooking oil with no colestral at all
Mkuu unajua kula vya afya haswaa, ila ya gharama hayo mazee...sisi tunakomaa na sunola tu yakhee.
So good, at times we use bertoli at home,Pompeian ndo fav brand yangu.
Inanogesha sana ladha. Hususan ile first cold press...
Whaaat!
Naanza kumkazia apike chapati
Mimi daima hutumia maji baridi ktk mapishi ya chapati za kusukuma.
Na kuchomea nachomea samli sio mafuta ya kawaida...utaipenda.
Too bad siku hizi nimekuwa teja wa pancakes,hizi za kusukuma labda mara 1 baada ya miezi mitatu...teh
Mapishi mazuri na zaidi nimependa usafi,hongereni [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Nice chapati kaka Mentor hongera wifi Evelyn Salt
Hahahaha lol umenikumbusha me nliambiwa mkono wangu wa mzungu ulitokeza kwenye upishi wa vitumbua lol
Mhhhhhh hii ni kweli jamani?Hakuna chapati laini vizuri kama inayomixiwa na maboga...niliwahi kula mahali flani kiukweli ni nzuri.
Nilielekezwa namna ya kupika kuwa ni hivi:-
-Unapika maboga kawaida kisha yakiiva unablend na maji ya uvuguvugu itakuwa kama siagi, baada ya muda mfupi unachanganya kwenye unga wa chapati kisha banika chapati zako.
Wallah...ni tamu na laini kwelikweli.
Ni kweli kabisa, sisi tulishapikiwa na binti mmoja wa kikamba na ni laini haswa.Mhhhhhh hii ni kweli jamani?
Maboga kwenye chapatti?
Ngoja nitacheki na chef wangu nimuulize...nataka kujua mapishi mbalimbali na kwa ufasaha ili hubbie to be afurahie mapishi yangu always [emoji12]
Hongera sana kwa mapishi. Hapo kwenye namba 15, binafsi huwa navuta gently hiyo chapati kwa kutumia finger tips. Napata mdabwada mwembambaa halafu nakunja duara kuanzia ncha ya juu. Hapo unapata thin layers kweli.
Kuokoa muda huwa ziachi kikando kwa nusu saa kabla ya kupakaa mafuta. Naacha baada ya kupakaa mafuta.
Niwe mkweli, sijapika chapati siku nyingi. Nna excuses kama 10[emoji4]
Usije ukapikiwa chapati ngumu kuliko maisha yako
Hata mimi aiseee!! Na huwa siwezi kula zaidi ya moja na ninashiba kweli, hapo kula tena ni hadi saa tisa au kumi alafu ndio basi.Mi chapati huwa zinanijaza tumbo [zinanifanya nijisikie nimeshiba mno] sana.
Hivi mpo mlio kama mimi?
Na kwa sababu hiyo huwa sizili mara kwa mara.
Chapati zina kazi, yaani wanangu wakisema "mamdogo tunataka chapati" najikuta nimechoka ghafla.Hongera sana kwa mapishi. Hapo kwenye namba 15, binafsi huwa navuta gently hiyo chapati kwa kutumia finger tips. Napata mdabwada mwembambaa halafu nakunja duara kuanzia ncha ya juu. Hapo unapata thin layers kweli.
Kuokoa muda huwa ziachi kikando kwa nusu saa kabla ya kupakaa mafuta. Naacha baada ya kupakaa mafuta.
Niwe mkweli, sijapika chapati siku nyingi. Nna excuses kama 10[emoji4]